• Pick a Subject and Get Discussing

  Cancel

  Login to Continue

  OR
  Use your Username and Password

  Forgot Password
  Close

  Help Center

  How do you get Points
  Close

  Help Center

  Close

  Help Center

  Close

  Help Center

  Close

  Pick a Class and Continue

  Cancel

  X
  Feedback

  We Love to Hear from You

   

   

   


  Shule Director, jukwaa lako la kujifunzia kidijitali limekuwepo toka mapema mwaka 2013. Niambie:


  • Ni lini ulianza kutumia Shule Direct?
  • Uliisikia wapi Shule Direct?
  • Ulipoitumia kwa mara ya kwanza, ni rafiki yako au mtu wako gani wa Karibu uliweza kumshirikisha juu ya Shule Direct?
  • Ni kitu gani kikubwa kilichokufurahisha ulipoanza kuitumia Shule Direct?
  • Ni kitu gani kikubwa ambacho huwezi kusahau kuhusu Shule Direct?

  Unaweza kujieleza kwa namna yoyote utakayo, kwa maandishi (kwa kuandika), kwa michoro au hata kujirekodi kwa video.

  Unaweza kunitumia kwa:

  Muhimu

  Hakikisha unaweka jina lako kamili, anuani yako na namba ya simu tunayoweza kuwasiliana nawe  Shukrani

  Shule Direct haiwezi kufanikiwa bila wewe Shule Director; Mafanikio yako ndio mafanikio ya Shule Direct. Ninapanga tukutane nikuambie Asante kwa kuwa nami na team nzima ya Shule Direct toka mwanzo. Nitakuwa na zawadi nyingi sana kwako, hasa kwa Shule Director utakayetumia ubunifu zaidi katika kunielezea unachokumbuka juu ya Shule Direct.


  Endelea kunifuatilia hapa, au kwenye ukurasa wangu @tichakidevu na @ShuleDirect Instagram na Facebook kujua ni lini tutakutana.

  Asante Bonanza, Coming Soon!

  Ask
  Ticha
  Kidevu