• Kiswahili Discussions

  Start your own discussion and win points

  Join, Discuss, Learn, Share idea with others

  Create Discussion

  Pick a Class
  Posted 15 hrs ago in Form 2

  Uhakiki Wa Kazi Za Fasihi Simulizi

  Taja dhima za uhakiki wa kazi ya fasihi simulizi

    0       0

  Comments  


  Posted 1 day ago in Form 4

  Kuongeza Msamiati Wa Kiswahili

  uhuru wa mashairi ni nini

    2       2

  Comments  


  Victor Marcel   Posted on 16 hrs ago

  Shairi zisizo fuata kanuni za utunzi

  Rose Rebecca   Posted on 2 days ago

  Ni shairi zisizo fuata Sheria za ushairi

  Posted 5 days ago in Form 2

  Uundaji Wa Maneno

  nini maana ya sarufi

    0       2

  Comments  


  Benford Hamisi   Posted on 2 days ago

  Sarufi ni jumla ya sheria zinazodhibiti matumizi ya lugha na ufaafu wake

  Fankie Peace   Posted on 5 days ago

  yuz

  Posted 1 week ago in Form 2

  Uhifadhi Wa Kazi Za Fasihi Simulizi

  elezea faida 4 za kuhifadhi kazi za fasihi 

    1       0

  Comments  


  Posted 1 week ago in Form 2

  Matumizi Ya Lugha Katika Miktadha Mbalimbali

  nn maana ya rejesta

    1       2

  Comments  


  Sophia Dauson   Posted on 1 week ago

  ni mtindo wa lugha unaotumiwa katika mazingira maalum

  Fankie Peace   Posted on 1 week ago

  yeeez

  Posted 2 weeks ago in Form 3

  Ngeli Za Nomino

  nn maana ya ngeli za nomino

    1       1

  Comments  


  Fankie Peace   Posted on 2 weeks ago

  yez

  Posted 1 month ago in Form 1

  Mawasiliano

  • nini maana ya lugha

    2       9

  Comments  


  Mary Nkonya   Posted on 16 hrs ago

  Got the point Imam

  Rose Rebecca   Posted on 2 days ago

  Well answered

  Meshack Kibet   Posted on 2 days ago

  Ni mfumo wa sauti nasibu ambao hutumika na wanajamii katika mawasiliano

  Benford Hamisi   Posted on 2 days ago

  lugha ni mfumo wa ishara na sauti nasibu zinazotumika katika mawasiliano.

  Posted 1 month ago in Form 4

  Kuongeza Msamiati Wa Kiswahili

  Hi!! guys ,andika insha ya kiada kuhusu mada wasichana wajawazito waruhusiwe kuendelea na masomo?.

    2       2

  Comments  


  Aminaj Kipaya   Posted on 1 week ago

  vigumu

  Fankie Peace   Posted on 1 month ago

  yez 

  https://s04.flagcounter.com/mini/rzN/bg_FFFFFF/txt_DDDDDD/border_FFFFFF/flags_0/.png

  Posted 2 months ago in Form 3

  Maendeleo Ya Kiswahili

  kwa kutumia hoja 5 zenye mifano 5 jadili dhima ya fasihi kwa jamii ya tanzania  

    1       3

  Comments  


  Sophia Dauson   Posted on 1 week ago

  kurahisisha mawasiliano

  Aminaj Kipaya   Posted on 1 week ago

  hukuza lugha

  Fankie Peace   Posted on 2 months ago

  true

  Posted 2 months ago in Form 3

  Ngeli Za Nomino

  • Nini maana ya ngeli nomino

    1       2

  Comments  


  Aminaj Kipaya   Posted on 1 week ago

  mm cjui

  Fankie Peace   Posted on 2 months ago  Posted 5 months ago in Form 4

  Uandishi

  Tembelea masshele Swahili kwa mada mbalimbali za kiswahili

    1       1

  Comments  


  Fankie Peace   Posted on 5 months ago

  yup

  Posted 5 months ago in Form 2

  Matumizi Ya Lugha Katika Miktadha Mbalimbali

  Dhima za misimu

   

   

    2       7

  Comments  


  Sophia Dauson   Posted on 1 week ago

  hupamba lugha

  F.r.a.y.n _V.i.e.v17   Posted on 1 month ago

  Hupunguza ukali wa maneno

  Yese Njau   Posted on 2 months ago

  1)Huzuka na kupotea
  2)Kuokoa muda

  Provoker Mack   Posted on 2 months ago

  Hey

  Posted 5 months ago in Form 3

  Maendeleo Ya Kiswahili

  ntapata wapi notes nzuri za natharia za kiswahili

    0       1

  Comments  


  Grace Mwende   Posted on 3 days ago

  Katika kitabu cha 'Chimbuko la Kiswahili'

  Posted 7 months ago in Form 4

  Kutunga Kazi Za Fasihi Andishi

  Nn maana ya fasihi andishi

    0       3

  Comments  


  Zaidat Massawe   Posted on 4 months ago

  Fasihi andishi ni aina ya fasihi inayowasilishwa kwa njia ya maandishi

  Patrick Singano   Posted on 6 months ago

  Ok

  Kemy Magayane   Posted on 6 months ago

  Aina ya Fasihi inayowasilishwa kwa njia ya maandish

  Posted 7 months ago in Form 1

  Aina Za Maneno

  kwa ina silabi ngapi?

    0       5

  Comments  


  Mary Nkonya   Posted on 16 hrs ago

  1

  Sophia Dauson   Posted on 1 week ago

  1

  Richard Msuya   Posted on 3 months ago

  1na irabu 1

  Pt   Posted on 7 months ago

  1

  Posted 7 months ago in Form 1

  Mawasiliano

  hv nyie boys hamuwezi kusoma bila girls?

    1       10

  Comments  


  Rose Rebecca   Posted on 2 days ago

  Waaa

  Richard Msuya   Posted on 3 months ago

  Kasema nn?

  Masked King   Posted on 5 months ago

  we waonaje???????????????

  ALLY MAKUSI   Posted on 6 months ago

  ndio jane kazi na dawa

  Posted 7 months ago in Form 1

  Kiswahili lugha

  Ainisha viambishi vifuatavyo

   

  1.kimenunuliwa

    0       4

  Comments  


  ALLY MAKUSI   Posted on 6 months ago

  duh pishon

  Pt   Posted on 7 months ago

  sorry i forget

  Anitha Muumba   Posted on 7 months ago

  ask u are madam

  Pishon Graig   Posted on 7 months ago

  wewe hii ni geography na sio kiswahili

  Posted 7 months ago in Form 1

  Fasihi Simulizi

  Eleza sifa zozote kumi za fasihi simulizi

    0       8

  Comments  


  Sophia Dauson   Posted on 1 week ago

  haina gharama

  Richard Msuya   Posted on 3 months ago

  Fasihi simulizi

  Zaidat Massawe   Posted on 4 months ago

  Ni kongwe

  Zaidat Massawe   Posted on 4 months ago

  Huwasilishwa kwa njia ya mdomo

  Posted 8 months ago in Form 1

  Usimulizi

  hadithi ni nini?

    2       6

  Comments  


  Pt   Posted on 7 months ago

  hadithi ni tungo za fasihi simulizi zitumiazo lugha ya nathari [lugha ya kila siku]

  Vanie Malosa Wiston   Posted on 7 months ago

  ni tungo za fasihi simulizi zitumiazo lugha ya nathari

  Anitha Muumba   Posted on 7 months ago

  ni habar za kale

  Daniella Daniel   Posted on 7 months ago

  ni tungo zenye visa vya kweli au vya kubuni vilivyo tokea wakati uliopita au ujao 

  Posted 8 months ago in Form 1

  Usimulizi

  nini maana ya usimulizi wa hadithi?

    1       5

  Comments  


  Janeth Kassian   Posted on 4 months ago

  jaaamn mbna nimexahau

  Pt   Posted on 7 months ago

  ni maelezo yatolewayo na mtu,watu,au kikundi cha watu kuhusu tukio fulani

  Vanie Malosa Wiston   Posted on 7 months ago

  ww jibu nn

  Agness Mikina   Posted on 7 months ago

  nimesahau

  Pick a Subject and Get Discussing

  Cancel

  Pick a Class and Continue

  Cancel

  X
  Feedback

  We Love to Hear from You