• Kiswahili Discussions

  Start your own discussion and win points

  Join, Discuss, Learn, Share idea with others

  Create Discussion

  Pick a Class
  Posted 1 year ago in Form 1

  Mawasiliano

  Maana ya Lugha ni nini?

    0       1

  Comments  

  Beatrice Laizer   Posted on 1 year ago

  Ni mfumo wa sauti za nasibu zenye kuleta maana zilizokubaliwa na Wana jamii wote miongoni mwao kutumika kwa mawasiliano

  Posted 1 year ago in Form 1

  Uandishi Wa Insha

  guys changamkeni hii ndio lugha yetu

    1       4

  Comments  

  Ibra_juz7   Posted on 7 months ago

  ok

  Alvin Shirima Alvin Shirima   Posted on 1 year ago

  Ok

  Renatus Philimon   Posted on 1 year ago

  aah kumbeee nishajuaa

  Husna Hassan   Posted on 1 year ago

  Ok

  Posted 1 year ago in Form 1

  Uandishi Wa Insha

  insha ni nini?guys changamkeni 

    0       1

  Comments  

  Renatus Philimon   Posted on 1 year ago

  kwanini?

  Posted 1 year ago in Form 1

  Aina Za Maneno

  Taja muundo wa kamusi

   

   

   

    0       2

  Comments  

  Renatus Philimon   Posted on 1 year ago

  sawasawa

  Beatrice Laizer   Posted on 1 year ago

  Utangulizi,kiini,farahasa

  Posted 1 year ago in Form 1

  Mawasiliano

  Naomba maana ya maneno yafuatayo maudhui, mutawa falsafa 

    0       1

  Comments  

  Beatrice Laizer   Posted on 1 year ago

  Maudhui ni lengo kuu la mtunzi wa kazi ya fasihi
  Falsafa ni Imani ya mtunzi wa kazi ya fasihi

  Posted 1 year ago in Form 1

  Fasihi Simulizi

  Taja na ueleze umuhimu wa hadithi

    2       2

  Comments  

  Husna Hassan   Posted on 1 year ago

  Kukuza uwelewa

  Mathew Mjungu   Posted on 1 year ago

  Zinafunndisha kwa mfano unaweza ukasoma hadithi inaelezea labda kuhusu wizi lazima mtunzi ataeka nasaha kwamba kwa like alicho kiandika zinafunndisha nin katika jamii
  - -zinaburudisha: mtu kupitia hadithi unaweza kuburudika kwa mfano unasoma hadithi ya sungura na fisi waweza burudika kwa kufurahi

  Posted 1 year ago in Form 4

  Uhakiki Wa Kazi Za Fasihi Andishi

   uhakiki ni nn 

    0       4

  Comments  

  Renatus Philimon   Posted on 1 year ago

  beat-rice yuko sawa

  Husna Hassan   Posted on 1 year ago

  Beatrice yupo sawa

  Gilbert Godfrey   Posted on 1 year ago

  ok beatrice

  Beatrice Laizer   Posted on 1 year ago

  Ni kitendo cha kuchambua na kufafanua kazi za fasihi kwa kuzingati vipengele vya fani na maudhui

  Posted 1 year ago in Form 4

  Ukuaji Na Ueneaji Wa Kiswahili Enzi Ya Waingereza Na Baada Ya Uhuru

  kwann kiswahili kilikua sana  Tanganyika  kuliko kenya ?

    0       2

  Comments  

  Gilbert Godfrey   Posted on 1 year ago

  ok i get it

  Sygribertha Massawe   Posted on 1 year ago

  Ni kwasababu zifuatazo:1.utawala uliokuwepo wa wakoloni walikuta kiswahili kimeshaanza kutumika hivyo ilikuwa vigumu kubadili wanaowatawala kwa kipindi kile.
  2.wakoloni hasa wajerumani walitumia kiswahili Kama lugha ya kufundishua hivyo ilitumika katika nyanja mbalimbali za elimu.
  3.Wakoloni hasa wajerumani walijifunza Kwanza kiswahili kutoka huko nchini kwao ili isiwe vigumu wao kuja kutawala.
  Ya 4 na ya mwisho Ni kwamba kiswahili kilitumika kuandikia ripoti za kazi mbalimbali kipindi kile Cha ukoloni kulinganisha na lugha nyingine

  Posted 1 year ago in Form 1

  Fasihi Simulizi

  tanzu za fasihi simulizi ni nini

    1       3

  Comments  

  Fankie Peace   Posted on 1 year ago

  Ok

  Sygribertha Massawe   Posted on 1 year ago

  Samahani binafsi nimesahau maana yake ila kw haraka haraka tunaweza kusema Ni vitu vinavyo tengeneza na kufanya fasihi simulizi iweze kuwasilishwa.

  Sygribertha Massawe   Posted on 1 year ago

  Tanzu za fasihi simulizi zipo nne nazo Ni:
  1. Hadithi
  2. Ushairi
  3.Semi
  4. Sanaa za maonesho.

  Posted 1 year ago in Form 1

  Mawasiliano

  kaida  za lugha ni nini na unipe mifano

    0       4

  Comments  

  Juin Dezinavel   Posted on 1 year ago

  nina maanisha kaida

  Sygribertha Massawe   Posted on 1 year ago

  Sasa fauda za lugha Ni nyingi ila nitakutajia chache tu.
  1. Hufanikisha mawasiliano baina y watu wawili au zaidi.
  2.hukuza utamaduni maana lugha Ni kipengele muhimu Cha utamaduni.
  3.pia lugha inatumika Kama media ya kubadilishana vitu na hata mawazo mbalimbali.
  Hizo nilizozitaja Ni chache Kati ya nyingi.

  Sygribertha Massawe   Posted on 1 year ago

  Nahisi Juin umemaanisha faida

  Ezra Peter   Posted on 1 year ago

  umesema faida au kaida

  Posted 1 year ago in Form 1

  Mawasiliano

  nini maana ya lugha

    1       4

  Comments  

  Mathew Mjungu   Posted on 1 year ago

  Lugha; ni sauti za nasibu zenye maana kisarufi zilizo kubaliwa na jamii ili kutumika kwa njia ya mawasiliano

  Juin DEZINAVEL   Posted on 1 year ago

  asante

  Sygribertha Massawe   Posted on 1 year ago

  Lugha Ni sauti za nasibu zenye maana zisemwazo na watu wenye utamaduni mmoja kwa njia ya mawasiliano baina yao.

  Gilbert Godfrey   Posted on 1 year ago

  nisauti za nasibu zenye maana kisarufi

  Posted 1 year ago in Form 4

  Kuongeza Msamiati Wa Kiswahili

  Nilazim kuwa Na boy friend? Na nini faida au hasar zake

    3       3

  Comments  

  Sygribertha Massawe   Posted on 1 year ago

  Ni lazima kwasababu Ni rafiki wa kiume ataweza kukusaidia kwenye mambo mbalimbali hasa katika elimu

  Omary Japhary   Posted on 1 year ago

  cio lazima ila kuea na mtu karibu yako anayekujali,anayekusaidia ni vizuri

  David Praise   Posted on 1 year ago

  kuwa na boy friend ni kuwa tu marafiki

  Posted 1 year ago in Form 2

  Uundaji Wa Maneno

  nini maana ya mawasiliano

   

    0       3

  Comments  

  Alvin Shirima Alvin Shirima   Posted on 1 year ago

  Subiri

  Moana Of Mutului   Posted on 1 year ago

  Ni kitendo cha kupashana habar baina ya watu wawili au zaidi

  Fankie Peace   Posted on 1 year ago

  Ok

  Posted 1 year ago in Form 3

  Maendeleo Ya Kiswahili

  KISWAHILI NI LUGHA NGUMU A 2 DUNIANI...ELEZA

    1       5

  Comments  

  Moana Of Mutului   Posted on 1 year ago

  Kiswahili c lugha ngumu

  Sygribertha Massawe   Posted on 1 year ago

  Hapana kiswahili si lugha ngumu duniani na hakuna lugha Bora kuliko zote maana zote hutumika kwa lengo moja tu ambalo Ni mawasiliano kati ya watumiaji wake.

  Sygribertha Massawe   Posted on 1 year ago

  Hapana kiswahili si lugha ngumu duniani na hakuna lugha Bora kuliko zote maana zote hutumika kwa lengo moja tu ambalo Ni mawasiliano kati ya watumiaji wake.

  Fankie Peace   Posted on 1 year ago

  Ok

  Posted 1 year ago in Form 3

  Ngeli Za Nomino

  kuna aina ngapi za ngeli

   

    1       8

  Comments  

  Atugonza Raymond   Posted on 1 year ago

  Kuna aina 10 za ngeli

  Gilbert Godfrey   Posted on 1 year ago

  10

  Beatrice Laizer   Posted on 1 year ago

  9

  Sygribertha Massawe   Posted on 1 year ago

  Aina 10 za ngeli

  Posted 1 year ago in Form 2

  Uundaji Wa Maneno

  Ufupisho Ni nini

    0       3

  Comments  

  Ibra_juz7   Posted on 7 months ago

  ni kitendo cha kufupisha habari kwa kuzingatia mada kuu katika habari

  Alicia Mseke   Posted on 1 year ago

  Ni uelezeaji wa jamb kwakutumia manen binafs bila kupoteza maan yake

  JESSIE DAUD   Posted on 1 year ago

  ufupisho ni kuelezea jambo kwa maneno machache bila kupoteza maana yake ya msingi

  Posted 1 year ago in Form 1

  Mawasiliano

  Nini maana ya tungo

    1       1

  Comments  

  JESSIE DAUD   Posted on 1 year ago

  tungo ni kipashio katika lugha ambacho mtu ana kisema au kukiandika

  Posted 1 year ago in Form 1

  Mawasiliano

  NINI maana ya nasibu

    1       7

  Comments  

  DAUDI RONALDO   Posted on 1 year ago

  ni kitu kinacho tokea kwa bahati sehemu fulani

  Rose Rodgers   Posted on 1 year ago

  Na maanisha neno nasibu

  David Praise   Posted on 1 year ago

  unamaanisha sauti nasibu au neno nasibu

  David Praise   Posted on 1 year ago

  HI AM DAVID

   

  Posted 1 year ago in Form 1

  Fasihi Simulizi

  Taja vipera vya hadithi.

    0       2

  Comments  

  Sygribertha Massawe   Posted on 1 year ago

  Soga,ngano,vigano,visakale,tarihi,na hekaya kwakifupi Ni HASONGAVIVITAHE

  Debbie Jion   Posted on 1 year ago

  hurafa,visakale,mighani

  Posted 1 year ago in Form 3

  Maendeleo Ya Kiswahili

  Eleza namna Waarabu walivyochangia kukuza na kueneza Kiswahili nchini Tanzania.

    0       4

  Comments  

  Amina Idy   Posted on 1 year ago

  Biashara dini kuoana na elimu

  Beatrice Laizer   Posted on 1 year ago

  Dini
  Biashara
  Shule kuoana
  Utawala

  Fankie Peace   Posted on 1 year ago

  ok

  Mohamed Z, Mohamed   Posted on 1 year ago

  kwa njia zifuatz
  1.biashara,shughuli za kidini , utawala,
  shughuli za elimu na kuoana

  Ask
  Ticha
  Kidevu

  Pick a Subject and Get Discussing

  Cancel

  Pick a Class and Continue

  Cancel

  X
  Feedback

  We Love to Hear from You

   

   

   


  X

  Connect to your school online

  X

  Find your registered child

  Or Register a New Child Here