• Kiswahili Discussions

  Start your own discussion and win points

  Join, Discuss, Learn, Share idea with others

  Create Discussion

  Pick a Class
  Posted 2 years ago in Form 1

  Mawasiliano

  nini utofauti kati ya nomino ya uwingi na nomino yajumla

    0       1

  Comments  

  John Teddy   Posted on 2 years ago

  Nomino ya uwingi huashiria vitu katika uwingi mfano;wanafunzi mia moja.
  Ilhali nomino ya jumla inaonyesha kitu kwa pamoja ndani;wanafunzi wote mia moja walisoma pamoja

  Posted 2 years ago in Form 1

  Mawasiliano

  nini maana ya lugha ni sauti

    0       1

  Comments  

  Jackison Joseph   Posted on 2 years ago

  lunga ni sauti za nasibu

  Posted 2 years ago in Form 1

  Mawasiliano

  Ufasaha  wa  lugha  nini?

    0       2

  Comments  

  BLENCA Lebux   Posted on 2 years ago

  samahani sijui

  Esther Mabelele   Posted on 2 years ago

  lugha ni mfumo wa sauti za nasibu wenye mpangilio maalum unaoleta maana na kukubaliwa katika jamii ili kutumiwa katika mawasiliano

  Posted 2 years ago in Form 1

  Mawasiliano

  Je, wanyama wana lugha?

    1       11

  Comments  

  Gilbert Godfrey   Posted on 2 years ago

  ndio

  Beatrice Laizer   Posted on 2 years ago

  Ndiyo

  Juin Dezinavel   Posted on 2 years ago

  ndiyo

  Ciara Jol   Posted on 2 years ago

  ila hata weye pia waweza kumuelewa mnyama kwahiyo ndio wana lugha

  Posted 2 years ago in Form 1

  Mawasiliano

  Nini maana ya lafudhi?

    0       5

  Comments  

  Beatrice Laizer   Posted on 2 years ago

  Namna ya mtu kutamka maneno ambayo humtambulisha mahali anapotokea

  Alicia Mseke   Posted on 2 years ago

  I need to be your friend

  Alicia Mseke   Posted on 2 years ago

  Ni namna MTU anavyotamk maneno huweza kumtambulisha anapotoka

  @poppy Smic#   Posted on 2 years ago

  Ni namna ya mtu ya kutamka maneno ambayo humtambulisha mahali anakotokea.

  Posted 2 years ago in Form 3

  Uhakiki Wa Kazi Za Fasihi Andishi

  ---------- ni mzunguko wa mzizi au kiini chochote cha neon pamoja na viambishi tamati maana

    0       1

  Comments  

  Beatrice Laizer   Posted on 2 years ago

  Shina

  Posted 2 years ago in Form 1

  Aina Za Maneno

  _____ ni neon linalo taja vitu, viumbe, hali,au matendo ili kuviainisha nakuvi tofautisha au kuvipambanua miongoni mwa vitu vingine

    1       5

  Comments  

  Juin DEZINAVEL   Posted on 2 years ago

  nomino

  Gladys Mbithe   Posted on 2 years ago

  Nomino

  Lucy Mfoyy   Posted on 2 years ago

  Nomino

  Beatrice Laizer   Posted on 2 years ago

  Omino

  Posted 2 years ago in Form 3

  Uhakiki Wa Kazi Za Fasihi Andishi

  nini maana ya fasihi andishi

    1       2

  Comments  

  Juin Dezinavel   Posted on 2 years ago

  sanaa inayoandikwa vitabuni,yaani huwasilishwa kwa njia ya uandishi

  Beatrice Laizer   Posted on 2 years ago

  Ni ina ya fasihi inayowasilishwa kwa njia ya maandishi

  Posted 2 years ago in Form 3

  Maendeleo Ya Kiswahili

  KISWAHILI NI JANJA JANJA ELEZA

    0       3

  Comments  

  Beatrice Laizer   Posted on 2 years ago

  Niko right napenda kuwa rafiki yako

  Captain Magu   Posted on 2 years ago

  FRESH

  Beatrice Laizer   Posted on 2 years ago

  Sijakuelewa vizuri Ila nazani ni hivi, kiswahili ni lugha ambayo Ina asilimia kubwa Ina lugha za kigeni Kama kiarabu ,kireno,kingereza n.k hivyo ni lugha ya kijanja

  Posted 2 years ago in Form 3

  Maendeleo Ya Kiswahili

  kibantu ni nini?

    0       4

  Comments  

  Esther Mabelele   Posted on 2 years ago

  ni lugha zinazotumika na makabila kusini mwa jangwa la sahara isipokuwa kijaluo,kimaasai na kisandawe

  Lucy Mfoyy   Posted on 2 years ago

  lugha ambayo in mchanganyiko wa kiarabu na kiswahili

  Beatrice Laizer   Posted on 2 years ago

  Kutakana na hisimu kibantu ni lugha za makabila .

  Mohamed Z, Mohamed   Posted on 2 years ago

  ni zile lugha ambazo ni za kikabila .kama nimepatia niambie

  Posted 2 years ago in Form 3

  Mjengo Wa Tungo

  Chagizo ni Nini???

   

    0       2

  Comments  

  Beatrice Laizer   Posted on 2 years ago

  Ni sehemu ya kisrifu inayokaliwa na kielezi

  Captain Magu   Posted on 2 years ago

  chagizo ni sehemu ya kiarifu inayotoa maelezo zaidi juu ya kitenzi

  Posted 2 years ago in Form 2

  Uundaji Wa Maneno

  hello guys and girls, i have a question. bainisha neno walivyojichezea.

    0       5

  Comments  

  Lucy Mfoyy   Posted on 2 years ago

  wa-nafsi ya tatu umoja,li-wakati uliopita ,vyo-kiambishi,ji-ukanusho,chez-mzizi,e,a-kiishio

  Beatrice Laizer   Posted on 2 years ago

  Wa-li-vyo-ji-chez-e-a for sure

  Nathan Kamando   Posted on 2 years ago

  I wanted you to tell me the kiambishi's if you know what I mean

  Emmanuel Chesco   Posted on 2 years ago

  Same here

  Posted 2 years ago in Form 1

  Mawasiliano

  kwa kutumia mchoro fafanua vipera vya fasihi simulizi

    0       3

  Comments  

  Mnk Knm   Posted on 2 years ago

  Hadithi
  Semi
  Ushairi
  Maigizo
  Mazungumzo

  Beatrice Laizer   Posted on 2 years ago

  Fasihi simulizi
  :Hadithi
  :Ushairi
  :Semi

  Fankie Peace   Posted on 2 years ago

  ok

  Posted 2 years ago in Form 4

  Ukuaji Na Ueneaji Wa Kiswahili Enzi Ya Waingereza Na Baada Ya Uhuru

  Mchango wa CHAKA katika ukuaji na ueneaji wa kiswahili afrika na changamoto zake

    0       3

  Comments  

  Jackison Joseph   Posted on 2 years ago

  namipia napenda kujuha

  Beatrice Laizer   Posted on 2 years ago

  Samahani , kwani Chaka ni nini?ningependa kujua

  Fankie Peace   Posted on 2 years ago

  ok

  Posted 2 years ago in Form 1

  Aina Za Maneno

  Kuna Aina ngapi za vielezi 

    0       5

  Comments  

  Juin DEZINAVEL   Posted on 2 years ago

  4

  Beatrice Laizer   Posted on 2 years ago

  4,vielezi vya namna
  Vielezi vya wakati
  Vielezi vya mahali
  Vielezi vya idadi

  Ivan LLOYD   Posted on 2 years ago

  4

  Moana Of Mutului   Posted on 2 years ago

  Thanks Nathan

  Posted 2 years ago in Form 3

  Ngeli Za Nomino

  tungo nn  

    0       2

  Comments  

  Maimuna AllyTamim   Posted on 2 years ago

  tungo ni neon au nomino inayutokana kitenzi tunga

  Peter Lyimo   Posted on 2 years ago

  sijui

  Posted 2 years ago in Form 2

  Uhakiki Wa Kazi Za Fasihi Simulizi

  Utata was neno tupa ni nin???

    0       3

  Comments  

  Jenepher Kibasa   Posted on 2 years ago

  Yes we can chat

  Beatrice Laizer   Posted on 2 years ago

  Tupa ya kunolea kisu na kukiondoa kitu kumaanisha kutotumia tena

  Peter Lyimo   Posted on 2 years ago

  hi can we chat

  Posted 2 years ago in Form 3

  Maendeleo Ya Kiswahili

  kwanini kiswahili ni kibantu

    0       2

  Comments  

  Beatrice Laizer   Posted on 2 years ago

  Kuna shahidi mbili zinazadhibitisha ubantu wa kiswaili:shahidi za hisimu na za kihistoria

  Zakihisimu:
  Mnyambuliko wa vitenzi
  Wingi na umoja
  Muundo wa sentensi
  Kiima na kiarifu

  Shahidi za kihistoria
  Ushajua wa marcopolo
  Ushahidi wa Ibn batuta
  Utenzi wa fumoliongo
  Historian ya kilwa

  Peter Lyimo   Posted on 2 years ago

  kwa sababu wabantu ndio wanaojua kiswaili

  Posted 2 years ago in Form 2

  Uandishi

  Sajili ni nini?

    1       3

  Comments  

  Fankie Peace   Posted on 2 years ago

  yes

  Juin Dezinavel   Posted on 2 years ago

  rejesta

  Beatrice Laizer   Posted on 2 years ago

  Kuandikisha

  Posted 2 years ago in Form 1

  Mawasiliano

  What are the differences between physical and chemical reactions??? 

    0       4

  Comments  

  Beatrice Laizer   Posted on 2 years ago

  Sorry but it's kiswahili session so is better if I can join you in chemistry session

  Peter Lyimo   Posted on 2 years ago

  oya embu tutolee ushamba hapa sisi ni kiswahili

  Agatha Mwakipesile   Posted on 2 years ago

  na kweli amechanganyikiwa. Nini akaboost akili yake na kujifukiza

  Mohamed Z, Mohamed   Posted on 2 years ago

  samahani hii ni kundi la kiswahili

  Ask
  Ticha
  Kidevu

  Pick a Subject and Get Discussing

  Cancel

  Pick a Class and Continue

  Cancel

  X
  Feedback

  We Love to Hear from You

   

   

   


  X

  Connect to your school online

  X

  Find your registered child

  Or Register a New Child Here