• Kiswahili Discussions

  Start your own discussion and win points

  Join, Discuss, Learn, Share idea with others

  Create Discussion

  Pick a Class
  Posted 7 years ago in Form 2

  Tofauti kati ya Rejesta na Lahaja

  Rejesta na Lahaja zinatofautiana katika vipengele gani?

    1       3

  Comments  

  FATMA REMA   Posted on 1 year ago

  rejesta ni mtindo wa lugha unao tumika katika eneo fulan.mfano scul,hospitli, mahakaman na kadhalika.hivo vina tofautiana pimdi m2 yuko katika mandhar na eneo gani na kutumia lagha ya rejesta husika.

  Evance Kimario   Posted on 6 years ago

  rejesta ni lugha inayo tumika sehemu shughuli flani wakati lahaja ni kipashio kidogo chenye maana kisarufi

  Juliet Scarion   Posted on 7 years ago

  Rejesta ni mtindo wa lugha unaotrumiwa katika mazingiara maalum mfano rejesta za shuleni, mahakamani n.k na lahaja ni tofauti zilizo katika lugha kuu moja na watumiaji wa eneo moja na jingine kimatamshi an kimaana

  Ask
  Ticha
  Kidevu

  Pick a Subject and Get Discussing

  Cancel

  Pick a Class and Continue

  Cancel

  X
  Feedback

  We Love to Hear from You

   

   

   


  X

  Connect to your school online

  X

  Find your registered child

  Or Register a New Child Here