• Pick a Subject and Get Discussing

  Cancel

  Change your Cover Photo

  Change your Profile Picture

  Convert your Points into Coins to Win Gifts

  You have no Points to Convert. You are requested to make more efforts on earning more Points to reach this stage.
  Remember, more Gifts are waiting for you !!
  See how how to earn Points
  Cancel

  Gifts Shop
  Claim gifts based on the coins you have

  Cancel
  Wow ....!! you earned
     Points
  For the new discussion you have made
  Wow ....!! you earned
     Points
  For the new comment you have made

     What you can do with your friend

  Private Messages
  Discuss on a Subject Matter
  Close

  Login to Continue

  OR
  Use your Username and Password

  Forgot Password
  Close

  Help Center

  How do you get Points
  Actions Points
  Start New Discussions 5 Points
  Every 10 New Friends you Invite 5 Points
  Make Comments in Discussions 2 Points
  You are able to convert your Points to Coins.
  Close

  Help Center

  Close

  Help Center

  Close

  Help Center

  Close

  Pick a Class and Continue

  Cancel

  We Love to Hear from You

  X
  Feedback

  We Love to Hear from You

  Kiswahili Discussions Nini hasara ya kuhifadhi fasihi simulizi
  Ibrahim Augustine Posted 6 months ago

  Nini hasara ya kuhifadhi fasihi simulizi

  • Nini hasara ya kuhifadhi fasihi simulizi kwa njia ya vinasasauti

   All Comments (3)
  • Emmanuel Posted 5 months ago

   Kuhifadhi kazi ya fasihi katika vinasa suti kuna hasara zifuatzo
   1.kazi kutokuwa na ubora kwani hakuna msimuliaji
   2.kazi kukosa uhai wa matendo ya msimuliaji
   3.kazi kuharibika hata kupotea kwa urahisi

  • Christian Ligwa Posted 5 months ago

   Haitawafikia watu wote kirahisi hasa wa vijijini

  • Ram J Scol Posted 6 months ago

   Ni rahisi kupotea ukisawanisha na njia kama vile kichwa

   Other Discussions
  • Mzalendo Tz Posted 3 months ago
   Lugha zetu
   Ngeli za nomino ni nini?
  • Suhayla Mohammed Posted 10 months ago
   Usimulizi
   Fafanua njia ya usimulizi wa matokeo
  • Patience Richard Posted 2 years ago
   Shairi, Kitu na boksi
   Nachukua wasaa huu, kukupa kitu na boksi
   Yasikie yangu makuu, yaliyomo ndani ya boksi
   Ni hiari yako mkuu,sitaki kukuletea ubosi
   Usitende usiseme suu, usifikiri utaumiza utosi

   Ni kitu kipya, hakikuguswa na mtu
   Si mtumba, wala hakina kutu
   Chang'ara, meremeta, chavutia kama sumaku
   Hata kabla hujafungua, chanukia kama karafuu
   Marashi ya Pemba, na iriki za Tukuyu

   Hata kama mbali chatoka, huko Ughaibu
   Sitaki  kujidai, na sio majigambo
   Kuwa napata kitu na boksi, toka ng'ambo
   Ila napiga mahisabati, na kufumbua mafumbo
   Jinsi MOLA alivyo nibariki, kwa mengi mambo
   Sio tu kiuchumi, Afya na majengo
   Pia ndugu, marafiki, na jamaa wa kambo
   Hunipatia zawadi, mpya kwa boksi kimtindo
   Mpaka langu jipya gari, latoka chumba cha maonyesho


   Nani anisaidie kuelezea shairi hili linausu nini?