• Kiswahili Discussions

  Add comments and win points

  Join, Discuss, Learn, Share idea with others

  Back to discussions

  Posted 2 years ago in Form 3

  Uhakiki Wa Kazi Za Fasihi Andishi

  je  mwandishi wa tamthilia ya ngoswe penz  kitovo cha uzembku faulu au hajatofaulu

    0       9

  Comments  

  Mbaaruk Saidi   Posted on 2 years ago

  hakuufaulu kwa sababu hatukuona hatma ya mwisho

  Jonas Philipo   Posted on 2 years ago

  Hajafaulu kifani kwan
  Hajaonyesha mwisho Wa mazoea na ngoswe

  ASKARI WA MOTON SIMBA SPORT CLUB[ SSC]   Posted on 2 years ago

  sawa kaswindwa##

  Upendo Fredrick   Posted on 2 years ago

  hakufaulu coz kaswindwa kutuonyesha hatima ya ngoswe na kazi yake pia hatujui hatima ya mazoea

  MAJALIWA ADREA   Posted on 2 years ago

  kafaulu kwn jamii zet zinamatatizo yalio andikw

  Posh Eva Ifnicky   Posted on 2 years ago

  yeah, kafaulu kwn alichoandka kpo ktk jamii zetu

  Jerry Bindamt   Posted on 2 years ago

  na vile vile nina sababu ya kuxema kafauli sababu ya 1. tunaona mambo yote yaliozungumzwa katka kaz yake yapo katka jamii zetu ivo tunasema kwamba kafaulu katka kaz yake by jerry

  Jerry Bindamt   Posted on 2 years ago

  me nasema kafaulu katika kaz yake

  Travix Clay   Posted on 2 years ago

  Hakufauru

  Ask
  Ticha
  Kidevu

  Pick a Subject and Get Discussing

  Cancel

  Pick a Class and Continue

  Cancel

  X
  Feedback

  We Love to Hear from You

   

   

   


  X

  Connect to your school online

  X

  Find your registered child

  Or Register a New Child Here