• Kiswahili Discussions

  Add comments and win points

  Join, Discuss, Learn, Share idea with others

  Back to discussions

  Posted 4 years ago in Form 1

  Fasihi Kwa Ujumla

  faida za fasihi simulizi

    0       7

  Comments  

  Brian Miho   Posted on 3 years ago

  vipi

  Hydro Skeleton   Posted on 3 years ago

  -haina gharama
  -haibagui wanao jua kusoma na kuandika
  -ni mali ya jamii nzima
  -husimuliwa kwa njia ya mdomo(mazungumzo)
  -

  Daniel Mrema   Posted on 4 years ago

  ni kichocheo cha maelewano katika jamii

  Hellen Justin   Posted on 4 years ago

  hutnza amal za jamii

  Silyvester Chacha   Posted on 4 years ago

  watu huwasiliana KUJENGA JAMII NA PIa kuelimisha jamii

  Kajol Abdulkarim   Posted on 4 years ago

  Huweka historia inayorithishwa kutoka kizazi had kikazi

  Kendrick Linje Boy   Posted on 4 years ago

  Hutunza kumbukumbu

  Ask
  Ticha
  Kidevu

  Pick a Subject and Get Discussing

  Cancel

  Pick a Class and Continue

  Cancel

  X
  Feedback

  We Love to Hear from You

   

   

   


  X

  Connect to your school online

  X

  Find your registered child

  Or Register a New Child Here