• Kiswahili Discussions

  Add comments and win points

  Join, Discuss, Learn, Share idea with others

  Back to discussions

  Posted 4 years ago in Form 2

  Uhifadhi Wa Kazi Za Fasihi Simulizi

   maendeleo ya sayansi na teknolojia yana athari kubwa katika fasihi simulizi eleza matatizo yanayo ikabili fasihi simulizi ikiifadhiwa katika kompyuta kanda na vyombo vingine?

    0       7

  Comments  

  Arch Tnito   Posted on 3 years ago

  Hutumia gharam kubw

  Michael King Tz   Posted on 3 years ago

  https://michaelkingtz.blogspot.com/?m=1

  Hydro Skeleton   Posted on 3 years ago

  utatumia gharama hivyo itakua si rahisi kupatikana kwa jamii nzima
  ''pia itabagua wasiojua kusoma na kuandiaka,vipofu''

  Silyvester Chacha   Posted on 4 years ago

  kuna vitu vibaya ambavyo vina rushwa mitandaoni ambayo husababisha fasihi simulizi kuwa na athari kupitia mitandao ya kijamii

  Kajol Abdulkarim   Posted on 4 years ago

  Ikihifadhiwa haitokuwa simulizi itakuwa andishi

  Exavery Witulo   Posted on 4 years ago

  wakubwatu

  Charles Agustino   Posted on 4 years ago

  Sayansi na teknolojia imekuwa ikikua na kusambaa hatua kwa hatua kote duniani mpaka wakati huu ambapo inaonekana kufikia upeo.

  Ask
  Ticha
  Kidevu

  Pick a Subject and Get Discussing

  Cancel

  Pick a Class and Continue

  Cancel

  X
  Feedback

  We Love to Hear from You

   

   

   


  X

  Connect to your school online

  X

  Find your registered child

  Or Register a New Child Here