• Kiswahili Discussions

  Add comments and win points

  Join, Discuss, Learn, Share idea with others

  Back to discussions

  Posted 2 years ago in Form 2

  Uundaji Wa Maneno

  Mini maana ya misimu

    2       12

  Comments  

  Pt   Posted on 1 year ago

  big up wajina

  Taus Mdumya   Posted on 1 year ago

  Pia misimu si maneno sanifu pia hutumiwa na watu was rika moja

  Michael King Tz   Posted on 2 years ago

  https://michaelkingtz.blogspot.com/?m=1

  VICTOR SAWERE   Posted on 2 years ago

  Nimaneno yanayozuka na kupotea

  Anthony Makoye   Posted on 2 years ago

  kwani wewe ni mtz au muundo unauongea
  kilasiku

  Halan Maiko   Posted on 2 years ago

  misimu ni maneno yanozuswa nakundi lawatu na kupotea kwa muda mfupi

   

  Hydro Skeleton   Posted on 2 years ago

  alafu skunyingine acha papara una chapia sana

  Hydro Skeleton   Posted on 2 years ago

  ni maneno yasiyo rasmi ambayo huzuka na kupotea na machache yake huingizwa ktk misamiati wa kiswahili

  Agnes Mess   Posted on 2 years ago

  ni aina ya maneno ambayo huzaliwa, hukua na hufa.

  Declare Mushi   Posted on 2 years ago

  Niaina ya maneno yanayovuma kwa msimu

  Silyvester Chacha   Posted on 2 years ago

  misimu ni aina ya maneno ambayo huzuka na kutoweka

  Yese Njau   Posted on 2 years ago

  nini maana ya unyambulishai

  Ask
  Ticha
  Kidevu

  Pick a Subject and Get Discussing

  Cancel

  Pick a Class and Continue

  Cancel

  X
  Feedback

  We Love to Hear from You

   

   

   


  X

  Connect to your school online

  X

  Find your registered child

  Or Register a New Child Here