kuunja ungo maana yake nini
Comments
MAMACITA
We bro mbona unatia aibu iyo yako kali
Mhuu
Huna Dada ehhhhhh!
Ni aina fulani ya gari linalotumia mkaa
What is happen
Google
Eee wewe topic ya science la sita hukuwepo shuleni kwenu au ?
hi am new kuunja ungo ina manisha yani ku balehe start mp
kuchukia
uliza mmaamamkoo
ask ur cicy
ask ur sista
hapa ni kuuchukua ungo na kuubondaboonda
kujielewa
kuwa mtu mzima
MUONGO
kutoka kwenye utoto kwenda kwenye utu uzima
jamba
Student
Teacher
Other
MAMACITA