• Kiswahili Discussions

  Add comments and win points

  Join, Discuss, Learn, Share idea with others

  Back to discussions

  Posted 2 years ago in Form 4

  Ukuaji Na Ueneaji Wa Kiswahili Enzi Ya Waingereza Na Baada Ya Uhuru

  kwann kiswahili kilikua sana  Tanganyika  kuliko kenya ?

    0       2

  Comments  

  Gilbert Godfrey   Posted on 2 years ago

  ok i get it

  Sygribertha Massawe   Posted on 2 years ago

  Ni kwasababu zifuatazo:1.utawala uliokuwepo wa wakoloni walikuta kiswahili kimeshaanza kutumika hivyo ilikuwa vigumu kubadili wanaowatawala kwa kipindi kile.
  2.wakoloni hasa wajerumani walitumia kiswahili Kama lugha ya kufundishua hivyo ilitumika katika nyanja mbalimbali za elimu.
  3.Wakoloni hasa wajerumani walijifunza Kwanza kiswahili kutoka huko nchini kwao ili isiwe vigumu wao kuja kutawala.
  Ya 4 na ya mwisho Ni kwamba kiswahili kilitumika kuandikia ripoti za kazi mbalimbali kipindi kile Cha ukoloni kulinganisha na lugha nyingine

  Ask
  Ticha
  Kidevu

  Pick a Subject and Get Discussing

  Cancel

  Pick a Class and Continue

  Cancel

  X
  Feedback

  We Love to Hear from You

   

   

   


  X

  Connect to your school online

  X

  Find your registered child

  Or Register a New Child Here