• Sports and Games Discussions

  Start your own discussion and win points

  Join, Discuss, Learn, Share idea with others

  Create Discussion

  Posted 6 years ago

    0       4

  Comments  

  Phina James   Posted on 6 years ago

  inapendeza sana

  Jaffar Van Idrix   Posted on 4 years ago

  co sana

  Karim Bakari   Posted on 3 years ago

  g

  Aisha Hassan Wawuda   Posted on 3 years ago

  G

  Posted 6 years ago

  Game are bext in life coz can mak u ft

    1       6

  Comments  

  KINSI ONES   Posted on 4 years ago

  yes

  Jaffar Van Idrix   Posted on 4 years ago

  iz true

  Karim Bakari   Posted on 3 years ago

  g

  Aisha Hassan Wawuda   Posted on 3 years ago

  Sure

  Posted 6 years ago

  men i kind of disregard of football!somebody to help me

    1       5

  Comments  

  Karim Bakari   Posted on 3 years ago

  g

  Aisha Hassan Wawuda   Posted on 3 years ago

  P

  Amore Lamar   Posted on 3 years ago

  mhhhhhhhhhhhh

  Valary Achieng   Posted on 8 months ago

  Same.....

  Posted 6 years ago

  Arsenal vs Aston villa....i bet 4. [[Arsenal]]

    1       5

  Comments  

  KINSI ONES   Posted on 4 years ago

  Umeshaliwa

  Jaffar Van Idrix   Posted on 4 years ago

  chana mkeka

  Ebeneza Jafet   Posted on 3 years ago

  yap ur right peter

  Karim Bakari   Posted on 3 years ago

  g

  Posted 6 years ago

  orginc evolution

    0       2

  Comments  

  Karim Bakari   Posted on 3 years ago

  g

  Aisha Hassan Wawuda   Posted on 3 years ago

  P

  Posted 6 years ago

  we should discus physical education as a subject indeed

    0       6

  Comments  

  Baraka Wisdom   Posted on 6 years ago

  yap!!!!

  Jaffar Van Idrix   Posted on 4 years ago

  true

  Karim Bakari   Posted on 3 years ago

  g

  Aisha Hassan Wawuda   Posted on 3 years ago

  True

  Posted 6 years ago

  Hakuna aliyetamba usiku jana uefa champion league 0-0

    0       9

  Comments  

  Phina James   Posted on 6 years ago

  ya siku nyingi hyo bana

  KINSI ONES   Posted on 4 years ago

  acha maneno wew

  Jaffar Van Idrix   Posted on 4 years ago

  kwahiyo

  Karim Bakari   Posted on 3 years ago

  g

  Posted 6 years ago

  Ukweli mi ni mshabiki mkubwa sana wa timu ya arsenal, leo tumeshinda 1-0 dhidi ya bunley ushidi ambao unatupa matumain makubwa sana kubaki top 3 itakayotuwezesha kushiriki uefa msimu ujao. Katika ushindani wa kuwania kikombe kesho namuombea matokeo ya suluhu ili niwe na nafuu kubaki nafasi ya 2. Pig up sana chama langu la ukweli THE GUNNERS

    0       9

  Comments  

  Nahumu Jasper   Posted on 6 years ago

  Tunakimbilia ubnigwa Premier League, nyuma ya chelse akizubaa tu wenyewe tunashikilia usukani

  Kelvin Chaula   Posted on 6 years ago

  hamji kuchukua ubingwa

  KINSI ONES   Posted on 4 years ago

  xddgyyuj

  Jaffar Van Idrix   Posted on 4 years ago

  ata ukishiriki uefa unadhani utachua hilo kombe la uefa mnajisumbua bure 2

  Posted 6 years ago

  KOMBE LA DUNIA

  Kombe la dunia, mpira wa miguu
  Mashariki ya Afrika, tumeachwa kwnye ukungu
  Tangu uhuru kujipatia, uwanjani hatupeleki timu
  Kulikoni malenga, Twaogopa vunjika miguu??
  Au ni yetu mazoea, Kusheherekea buu
  Kufungwa twafungwa, lakini chenga twawala

  Yakhe nakiri, Nchi zetu hazijaendelea
  Ila hatuhitaji kwenda kwenye mwezi, kucheza mpira
  Au zuria kiwanjani, kulisakata soka
  Na si kompyuta mahili, kutuwezesah kushinda
  Ni mazoea ya utotoni, mpira ni kupiga chenga
  Kufungwa twafungwa lakini chenga twawala

  Pengine tumezoea, kushangilia wenzetu
  Toka mi nimezaliwa, Blazili timu yangu
  Sijui nini sababu hasa, labda ni Pele mtaalamu
  Au ni wanavyo vaa, jezi kama taifa langu
  Rangi kijani naipenda, na njano Yanga timu yangu
  Kufungwa twafungwa, lakini chenga twawala

  Naomba unielezee, tufanyaje soka kuendeleza
  Afrika mashariki tujikweze, tushiriki Kombe la Dunia
  Tafadhali nifafanulie, Roho yangu kuituliza
  Mwisho! la dunia kombe, Timu ipi waishangilia
  Ishindayo ishangiliwe au waenda na wapiga chenga
  Kufungwa twafungwa, lakini chenga twawala

  Show more
    1       6

  Comments  

  Mohamed Abdallah   Posted on 4 years ago

  Acha ujinga dogo; Unajua nini Mpira kipaji ;So usifikirie kwamba timu inapenda kufungwa bali uwezo bado.

  Karim Bakari   Posted on 3 years ago

  g

  Aisha Hassan Wawuda   Posted on 3 years ago

  P

  Sanjina Daud   Posted on 3 years ago

  ok

  Posted 6 years ago

  do we play juxt for fun or we have got ambitions in what we play???

    0       6

  Comments  

  Jocelyn Mwakilasa   Posted on 6 years ago

  depends wid de one who play others play 4 fun and others hv ambitions in them

  Francis HD   Posted on 4 years ago

  Hii

  Karim Bakari   Posted on 3 years ago

  g

  Aisha Hassan Wawuda   Posted on 3 years ago

  May be

  Posted 6 years ago

  how can yoga be helpful to peolpe?

    0       7

  Comments  

  Ahmad Khalid   Posted on 6 years ago

  Yoga increases the body, mind and soul awareness in terms of mental benefits. It increase flexibility and physical fitness of a body.

  Francis HD   Posted on 4 years ago

  Hii

  Karim Bakari   Posted on 3 years ago

  g

  Aisha Hassan Wawuda   Posted on 3 years ago

  It d

  Posted 6 years ago

  wadau wa basketball,mchezo huu na sheria ngap?

    1       10

  Comments  

  Nahumu Jasper   Posted on 6 years ago

  mchezo gani kama ni football una sheria 17 mingine i don know

  Eric Sanel   Posted on 5 years ago

  cjui

  Samya Fahim   Posted on 4 years ago

  kama hujui not a must to rply

  Francis HD   Posted on 4 years ago

  Hii

  Posted 6 years ago

  am in love with Manchester United...................long live Van Gal!!!!!!

    1       9

  Comments  

  Eric Sanel   Posted on 5 years ago

  wacha wee

  Frank Mange   Posted on 4 years ago

  dererer

  Francis HD   Posted on 4 years ago

  Hii

  KINSI ONES   Posted on 4 years ago

  Only you

  Posted 6 years ago

  nn faida za michezi katika mwili wa binadamu??

    2       7

  Comments  

  Jocelyn Mwakilasa   Posted on 6 years ago

  inajenga mwili na kuu fanya uwe more active

  Francis HD   Posted on 4 years ago

  Hii

  KINSI ONES   Posted on 4 years ago

  Aujui

  Jaffar Van Idrix   Posted on 4 years ago

  kuimarisha misuli

  Posted 6 years ago

  basketball is a good sport and it is not for boys even girls can play it

    2       13

  Comments  

  Rajabu Juma   Posted on 6 years ago

  sure

  Finance Dept   Posted on 6 years ago

  mmh its true, but i havent seen girls playing basketball instead netball

  Nahumu Jasper   Posted on 6 years ago

  Yah girls can do what boys does

  Herieth Robert   Posted on 6 years ago

  recently girls too participate in basketball too and they are very good in it!

  Posted 6 years ago

  Football

    2       6

  Comments  

  Francis HD   Posted on 4 years ago

  Hii

  KINSI ONES   Posted on 4 years ago

  oyaaaaaa

  Jaffar Van Idrix   Posted on 4 years ago

  imefanya nin

  Karim Bakari   Posted on 3 years ago

  g

  Posted 6 years ago

  wadau wa simba sports club na droo zenu mpo, maana naona mpaka sasa mmechemka ligi kuu

    3       10

  Comments  

  Finance Dept   Posted on 6 years ago

  wanaiman za kishirikina hao wacha yanga wafanye yao ligi kuu. Simba watabaki washika pembe

  Nahumu Jasper   Posted on 6 years ago

  tuvuten subira jamani simba wazur.

  Phina James   Posted on 6 years ago

  beautifull site

  Francis HD   Posted on 4 years ago

  Hii

  Posted 6 years ago

  Arsenal wenger anahitaji kupata mbinu za kulinda goli maana ametupa aibu mashabiki wa arsenal kwa kutoka sare ya 3-3 dhidi ya Anderlecht wakti tulikuwa tukiongoza 3-0

    2       13

  Comments  

  Nahumu Jasper   Posted on 6 years ago

  unatuua kocha wetu wenger turejeshee furaha ya 2005 iliyopotea

  Finance Dept   Posted on 6 years ago

  wenger hana sera tena kaishiwa

  Phina James   Posted on 6 years ago

  leo wenger kahinda bana poa sana

  Phina James   Posted on 6 years ago

  noomaaa

  Ask
  Ticha
  Kidevu

  Pick a Subject and Get Discussing

  Cancel

  Pick a Class and Continue

  Cancel

  X
  Feedback

  We Love to Hear from You

   

   

   


  X

  Connect to your school online

  X

  Find your registered child

  Or Register a New Child Here