• Sports and Games Discussions

  Start your own discussion and win points

  Join, Discuss, Learn, Share idea with others

  Create Discussion

  Posted 7 years ago

  wadau wa simba sports club na droo zenu mpo, maana naona mpaka sasa mmechemka ligi kuu

    3       10

  Comments  

  Finance Dept   Posted on 7 years ago

  wanaiman za kishirikina hao wacha yanga wafanye yao ligi kuu. Simba watabaki washika pembe

  Nahumu Jasper   Posted on 7 years ago

  tuvuten subira jamani simba wazur.

  Phina James   Posted on 7 years ago

  beautifull site

  Francis HD   Posted on 5 years ago

  Hii

  Posted 7 years ago

  Arsenal wenger anahitaji kupata mbinu za kulinda goli maana ametupa aibu mashabiki wa arsenal kwa kutoka sare ya 3-3 dhidi ya Anderlecht wakti tulikuwa tukiongoza 3-0

    2       13

  Comments  

  Nahumu Jasper   Posted on 7 years ago

  unatuua kocha wetu wenger turejeshee furaha ya 2005 iliyopotea

  Finance Dept   Posted on 7 years ago

  wenger hana sera tena kaishiwa

  Phina James   Posted on 7 years ago

  leo wenger kahinda bana poa sana

  Phina James   Posted on 7 years ago

  noomaaa

  Ask
  Ticha
  Kidevu

  Pick a Class and Continue

  Cancel

  X
  Feedback

  We Love to Hear from You

   

   

   


  X

  Connect to your school online

  X

  Find your registered child

  Or Register a New Child Here