Kuna muonekano mpya wa darasa langu! KUWA WA KWANZA KUINGIA
 • Life Skills Discussions

  Add comments and win points

  Join, Discuss, Learn, Share idea with others

  Back to discussions

  Posted 6 years ago

  Utawezaj lumtambua m2 mweny mapenz ya kwel??????????

    0       18

  Comments  

  Manuel Isaac   Posted on 6 years ago

  unatafuta?

  Panthera Da Silva Jr.   Posted on 6 years ago

  KA....GOOGLE

  Judy T   Posted on 6 years ago

  Daah! swali gan hlo

  Judith Mwalongo   Posted on 6 years ago

  Kwa matendo yake kwak

  Peter Mdendemi   Posted on 6 years ago

  OPERA

  Lexy G   Posted on 6 years ago

  Cjui

  ALICE KAVINDI   Posted on 6 years ago

  google ni jibu

  EDINA HAMIS   Posted on 6 years ago

  uwez ukamtambua but majaribu kwa machache

  Agness Ahia   Posted on 6 years ago

  Sio rahisi kumtambua mtu mwenye mapenzi ya dhati ila ukitaka kujua tabia yake ni rahisi tu mjua na ukishajua tabia ni rahisi pia kujua ana upendo au laa ila kwa karne tuliyopo ipo shughuli

  B.H.I.Z.Z.Y DERULO   Posted on 6 years ago

  huwezi

  Faraja Rukumbwe   Posted on 6 years ago

  kwa matendo yake

  Aloyce Abel   Posted on 6 years ago

  huwez mjuwa ila ukisha mpata ndio utajuwa

  Rama Chambega   Posted on 6 years ago

  ngumu sana

  Jaffar Van Idrix   Posted on 6 years ago

  kwa namna anavyo jali na kuheshim hisia zako kwake

  Roy Seyyiddd   Posted on 6 years ago

  kwa jinsi anavyokupenda na kujali hisioa zako kwake

  DEW Wandwi   Posted on 6 years ago

  mmmmmmmmmmmmm

  Christina Baraza   Posted on 6 years ago

  subir nkueleze

  Winnie Evanny   Posted on 5 years ago

  Anaheshim mawazo yako na thamani yako pia

  Ask
  Ticha
  Kidevu

  Pick a Class and Continue

  Cancel

  X
  Feedback

  We Love to Hear from You

   

   

   


  X

  Connect to your school online

  X

  Find your registered child

  Or Register a New Child Here