• Entertainment Discussions

  Add comments and win points

  Join, Discuss, Learn, Share idea with others

  Back to discussions

  Posted 4 years ago

  1: Eti mjue mtu kumuita baby wake sweet,honey ni dharau kwa sababu hivyo vitu havizidi shilingi 1000,kwa hiyo unapaswa kumuita baby wako vitu vya thamani kama vile gunia la mchele,kiroba cha sementi mfano akienda kazini unampigia simu na kumuuliza hallo gunia langu la mchele unarudi saa ngapi?
  2: Mfano ukiwa na stress zako halafu mshkaji wako anakuchokoza unashikwa na hasira na unaokota jiwe unamrushia lakini jiwe linamkosa na kumpata bibi kizee halafu yule bibi analiokota na kuliweka kwenye mkoba wake na kuondoka nalo what do you do?
  3: Ukiwa na x wako nawashauri mfanye sana tu hata mara 4 au 5 kwa siku msilale usiku bila kufanya hata akilala mwamshe mfanye hata kidogo, mchana mfanye kabla hajatoka mfanye yaani fanyeni maombi sana tu.
  Lakini sijapenda unachofikiria.

  Show more
    0       6

  Comments  

  Tomson Jr   Posted on 4 years ago

  komaaaaaa

  RICHARD SWAI   Posted on 4 years ago

  if we didn't marry what can we do?

  Doeasher Peterally   Posted on 4 years ago

  nothing dear

  Baby Bjuin Mohamed   Posted on 4 years ago

  Umeniweza

  Nasrah Harry   Posted on 4 years ago

  kwa kweli umeniwezaaaaaaaaaaaaa

  HELLEN MDUNDU   Posted on 4 years ago

  ndio nimekuweza tulia

  Ask
  Ticha
  Kidevu

  Pick a Class and Continue

  Cancel

  X
  Feedback

  We Love to Hear from You

   

   

   


  X

  Connect to your school online

  X

  Find your registered child

  Or Register a New Child Here