• Life Skills Discussions

  Add comments and win points

  Join, Discuss, Learn, Share idea with others

  Back to discussions

  Posted 4 years ago

  Habari zenu; nimewamiss sana.

   

     Any way to day i have something strange to share with you. 

   

  Please read it and check yourself how many times you do lalamika kwa MUNGU

   

             Najua wengi wetu tunafahamu story of JOB "AYUBU"  wa kwenye biblia

   

  kwa ufupi sana kwa mtu asiye ifahamu ama amesahau 'ayubu alikuwa ni mtu mwenye mali nyingi sana,mwenye famila kubwa,kubwa hasa alikuwwa ni mcha MUNGU.

   

       Siku ya watakatifu kujihudhurisha mbele za MUNGU ilifika  shetani naye akenda,MUNGU akamuuliza shetani "umemwona mtumishi wangu ayubu anavyo nitumikia ". shetani akajibu"nimemuona kwa sababu umemzunguka pande zote,nipe nafasi ni mjaribu uone  kama ataendelea kukutumikia" MUNGU akamruhusubali pumzi ya ayubu amuachie.shetani naye akaenda.

   

       shetani akenda kumjaribu ikiwemo kuchukua mali zake zote ,kuchukua watoto wake wote,kumafanya achukiwe na mkewe pia na ndugu ili amkufuru MUNGU. 

   

            Bali ayubu aliwajibu "tupate mema tu kutoka kwa MUNGU na mabaya JE?"

              Nini nataka uone ,ni hiki hapa :-

   

                       ayubu alifahamu kuwa MUNGU ameruhusu.

   

                 pia jua kwamba kuna wakati unapitia magumu si kwamba MUNGU afahamu, hapana MUNGU anafa kwa sababu yeye ndiyo ameruhusu.

   

  According to bible ambayo mimi nina isoma  na watu wengine huisoma inasema "MUNGU hutoa na huwapa vitu vilvyo bora  watu wake",yaani nina maanisha 

   

                                                GOD always gives you best, it doesn't matter how look like to you wether good or bad,best or worst.

  Magumu gani nina yasema? 

   

  Ni haya hapa:-

   

  •  kuna wakati unasoma kwa bidii but results are low to compare with what you sow,are very very discouraged but at once ulikuwa una good results.
  • kuna wakati nyumbani uchumi una yumba( si mzuri ) hadi mnaanza kuwa na milo miwili au mmoja lakini mwanzoni mlikuwa vizuri. na mengine mengi.

     Ayubu akulalamika  wala kumlalamikia MUNGU.Bali alifahamu anayoyapitia yote ni BEST  ndio maana MUNGU  amempatia

   

    Vivyo hivyo wewe unayepitia magumu elewa na fahamu hiki 

   

                Always GOD gives BEST and the BEST are comes if you will receive the same ,when those best of GOD  reach to you may  be GOOD(best) or BAD(worst) ,DO NOT lalamika wala kumlahumu MUNGU 

  wasahele wana sema baada ya dhiki faraja,vivyo ndivyo ilivyo kuwa kwa Ayubu kwani alipata vazuri kuliko vile vya mwanzo 

   

  Ndivyo itakavyo  kuwa kwako wewe kama hutokatatamaa,huto vunjika moyo hutaendelea mbele na kumtumikia MUNGU kwa moto uleule wa mwanzo

   

  Talk any thing if you touched with this message

  Show more
    3       11

  Comments  

  Loreen Josiah   Posted on 4 years ago

  Ameen.mpendwa kweli in god everything is possible

  Baby Cute   Posted on 4 years ago

  ameen

  Bernadetha William   Posted on 4 years ago

  Amen

  Sabby Laurence   Posted on 4 years ago

  GOD is great

  Rebecca Boniface   Posted on 4 years ago

  ok

  Kagenorah Schubert   Posted on 4 years ago

  GO DEPEEEEEEEEEEEER.

  Diof Pinto   Posted on 4 years ago

  Ubatikiwe sana maana umenena maneno yenye wingi wa hekima na maalifa nani yake

  Petro Damiano   Posted on 4 years ago

  That sounds good!

  Mubaraka Makame   Posted on 4 years ago

  I LIKE

  TALIS CHRISTIAN   Posted on 4 years ago

  that is too sweet

  Loveness Aenea   Posted on 4 years ago

  ilike it dear

  Ask
  Ticha
  Kidevu

  Pick a Class and Continue

  Cancel

  X
  Feedback

  We Love to Hear from You

   

   

   


  X

  Connect to your school online

  X

  Find your registered child

  Or Register a New Child Here