• Entertainment Discussions

  Add comments and win points

  Join, Discuss, Learn, Share idea with others

  Back to discussions

  Posted 2 years ago

  Oraa man new in the group 

    0       9

  Comments  

  Nelson Joseph   Posted on 2 years ago

  welcome meet christian leonard and also we want to see ur photo

  CAPTAIN DE ^^^@CAPTION   Posted on 2 years ago

  mmhh nel

  Christian Leonard   Posted on 2 years ago

  Nikiwa km mzee wa kwanza wa baraza la Shule direct naomba kukutambulisha sheria ya kwanza:
  1) Sheria ya kwanza marufuku kwa mgeni kuongea lugha ya kiswahili unaruhusiwa kuongea lugha zote isipokuwa kiswahili tu pekee hautaruhusiwa.
  wasubilie wazee wengine wa baraza waje wakupe sheria nyingine

  Christian Leonard   Posted on 2 years ago

  Kibwengo tutakulima barua kesho asubuhi saa 8:00 uje kujieleza kwenye baraza la wazee japo itakuwa birthday ya kibwengo mwenzako sisi hatujali hilo, shauri yako weingilia kazi za wazee wa baraza tu!

  DÀNNZ DÀ LÀ GREÀT   Posted on 2 years ago

  Lazma ujue na mm ni mzee wa pili la baraza la shule direct .na lazima uwajue wote

  CAPTAIN DE ^^^@CAPTION   Posted on 2 years ago

  hivi ww chriss a.k.a mzee wa baraza iiiiiiisshhh

  Christian Leonard   Posted on 2 years ago

  Hahaa! ongea Kibwengo wangu ili nikulime barua kesho asubuhi tukuweke kikaangoni. Hahaa! Mimi si mutu wa muchezo muchezo

  Meryline Titus   Posted on 2 years ago

  Welcome

  Charles Mwaigoga   Posted on 2 years ago

  Ok sio issuse kubwa English is fine

  Ask
  Ticha
  Kidevu

  Pick a Class and Continue

  Cancel

  X
  Feedback

  We Love to Hear from You

   

   

   


  X

  Connect to your school online

  X

  Find your registered child

  Or Register a New Child Here