MY ADVICE
Bora niachane na mitachi nyie mnaita mismatphone manake ticha wangu aliniuliza kwema huko nkatka kumjibu ndio kwema huku nkashanga nmemjibu ndio kwenda huko apa nawaza shule zikifunguliwa itakuaje

Mwambie sio mimi kwa sababu huo sio mwandiko wangu