Nice Evening Wapendwa! Nitarudi baadae
Kuna group nimeingia huko whatsapp nikauliza jamni vipi? kimya, jamani wazima humu nikakuta kimya,
nimebadili jina la group kuwa "wauza madawa ya kulevya wa dar" hivi navyosema wameleft karibu wote ... Sipendagi utani mimi AKILI YANGU NAIJUA MWENYEWE!!!!...






Hahaha sawa bana unazijua mwenyewe