Hii nikiwa darasa la tatu: kunamwalimu alikua anachapa huyo aiseh usiombe ufanye kosa alafu uambiwe uje na mzazi weeeeeeeee hizofimbo hatari ilibidi nitafute njia mbadala na ndio nikakamatwa sasa ninawasimulieni kesho kilicho nikuta......

Comments
Hahaaaa! Soppy sidhani km kweli alikuwa mjanja km mimi atakuwa alitumia ile mbinu ya kushonea masponchi ndani ya kaptula so mwalimu atakuwa anaistukia akiivaa hiyo kaptura ndio maana alikuwa akimwambia avue.
mimi ndio ilikuwa tabia zangu hizo ukinikamata na hii kesho nakuja na njia mpya kbs mpk walimu wakanibatiza jina la Michael Scofield yule jamaa wa Prison Break.
Hahaaaa! huyo alikuwa genius alikuwa akijiongeza km Chis so mwalimu alikuwa akifahamu tu hapa kutakuwa kuna rough ananichezea, Hahaaaaa
hahaahahahaaaaaaaaaaaaaa