• Entertainment Discussions

  Add comments and win points

  Join, Discuss, Learn, Share idea with others

  Back to discussions

  Posted 3 months ago

                     TANGAZO MAALUMU LA JINA JIPYA

   

  Habari wapendwa wote wa shule direct!

   

  Leo kwamara ya kwanza na post picha yangu humu tangu nijiunge, ila ipo kwa kazi maalumu ambayo niliyoachiwa na vibwengo wangu ili niikamilishe.

   

  Nimeamua kutimiza ahadi yangu Kwa ushirikiano mkubwa wa vibwengo wangu Little kibwengo (Savannah) yeye ndiye aliye shusha sala na maombi ya ubatizo alipo maliza tu akarudi Baharini kwao mpk leo hana dalili ya kurudi nchi kavu, pia shukrani za pekee ziende kwa KIBWENGO (Teddy) kwa kusaidia kutambua jamiipya kbs ambayo bidada wetu anayotokea na kuniimalishia ulinzi nisidhulike na kufanya kazi kubwa sana kwa mikono yake. Hivyo basi nachukua nafasi hii adhimu kutangaza rasmi jina jipya la Bidada wetu kuanzia sasa ataitwa "LITTLE KINYANKERA" na si JANET km alivyokuwa akiitwa zamani kabla hajabatizwa. Ahsanteni Sana!

  Show more
    0       7

  Comments  

  TEDDY CHARMS GAUDIONCE   Posted on 3 months ago

  haaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  My Best Friend Forever   Posted on 3 months ago

  Wowh! Glory be to God ninafuraha sasa maana kibwengo unafuraha na ulikuwa ukiisubilia kwa hamu Jina jipya la Little Kinyankera.

  Glory Masikangabo   Posted on 3 months ago

  sasa mbna umejiblock bro

  My Best Friend Forever   Posted on 3 months ago

  Hahaaa! Glory unatakiwa uni unblock sasa, unaniachaje nikiwa nimejiblock!

  Glory Masikangabo   Posted on 3 months ago

  haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  My Best Friend Forever   Posted on 3 months ago

  Hahaaa! Vipi Glory mbona umelitoa cheko km loteeeee....!

  Keisha Kira   Posted on 3 months ago

  hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  Ask
  Ticha
  Kidevu

  Pick a Subject and Get Discussing

  Cancel

  Pick a Class and Continue

  Cancel

  X
  Feedback

  We Love to Hear from You

   

   

   


  X

  Connect to your school online

  X

  Find your registered child

  Or Register a New Child Here