• Entertainment Discussions

  Add comments and win points

  Join, Discuss, Learn, Share idea with others

  Back to discussions

  Posted 2 years ago

  Hili ni muhimu watu wakafahamu

    0       20

  Comments  

  Captain Cutie^^^ ##@Caption   Posted on 2 years ago

  haaaaaaaaaaa aya bana

  Captain Cutie^^^ ##@Caption   Posted on 2 years ago

  chriss can you give ur email.please

  Esther Mdemu   Posted on 2 years ago

  Wewe ushafahamu?

  Herculean Preitygen   Posted on 2 years ago

  Mmmhh okay boss i gat u

  Herculean Preitygen   Posted on 2 years ago

  Alafu bora Captain upo onlyn tuma bac e-mail za wale washkaji wa kpnd kileeeeee ili bwana Chriss awatafuteee bac plz my yng sis do that baac

  Meryline Titus   Posted on 2 years ago

  Hahahahahhahahh Chris umechukiaaa kwaniiniiii

  Captain Cutie^^^ ##@Caption   Posted on 2 years ago

  sis email zote zilifutika coz i forgot my password

  Fankie Peace   Posted on 2 years ago

  Ok

  Christian Leonard   Posted on 2 years ago

  Hahaaa! Mery huwa sichukiagi eti japo nafahamu kamchezo ulicho nifanyia ila na mimi nikajifanya kama sijui vile ili nione mwisho wako,

  Christian Leonard   Posted on 2 years ago

  Esther sijakusoma bado shida unamaneno mengi ya mafumbo

  Christian Leonard   Posted on 2 years ago

  Kibwengo nisha post email yangu pole kwa majanga yaliyo kukuta.

  Meryline Titus   Posted on 2 years ago

  Hahaha,,,,mchezoo gan uwo tenaa Chris,,,

  Herculean Preitygen   Posted on 2 years ago

  Aaaahh mission failed now daah ndo nlkuw nakutegemea leo nmeamn mtegemea cha nduguye hufa mackin ndo leo nmeamn kbs daah bac yng sis ni hilo bt vp upo poaaa kweli?????

  Christian Leonard   Posted on 2 years ago

  unaujua mwenyewe, tena kwa hasira nilipanga niende nikaiendeleze ile list halafu namba (9) ningeweka Chris alafu ningetulia pembeni niangalie mbeleko utakazo bebewa na akina Jessica, shauri yako siku nyingine usichokoze nguvu wakati ugomvi huna we haya tu.

  Esther Mdemu   Posted on 2 years ago

  Kipi hujanielewa hapo we Mkaka yaani Mkaks

  Christian Leonard   Posted on 2 years ago

  Esther katika watu ambao wanapozungumza jambo huwa inaniwia ugumu kuwaelewa nadhani wewe nawe ni miongoni mwao, wakwanza Bidada wetu mmoja anaitwa Upendo ambaye kila siku Jessica huwa ananisumbua kumuulizia akitoka yeye tu wewe unafuata huwa nashindwa kbs kuwaelewa munaandika maneno very complicated sijui wenyewe ndio mnaona misifa kutusumbua tuwe tunawauliza uliza mulichoandika mbona wengine tunaandika open words ambayo kila mtu anayaelewa au ndio mnataka kujifanya nyie ni ma intelligent sana kama Leonardo Davic kuweka maujumbe yake kwenye mafumbo akafa nayo halafu anawapa tabu watu mpk leo wanahangaika kutafsili mafumbo yake alikuwa anataka kufikisha ujumbe gani lakini watu wameshindwa so amekufa bila faida yoyote zaidi ya kuacha mafumbo tu vichwani mwa watu.

  Esther Mdemu   Posted on 2 years ago

  Tatizo lako wewe sio mtu wa kitaa that’s why unahangaika peke yako na supporters wako

  Herculean Preitygen   Posted on 2 years ago

  Hahaaaaaaaahaaaaaaaahaaaaaaaaaaaaaahaaaaaa uuuuuh Chriss YOUR RIGHT

  Chichy Kdul   Posted on 2 years ago

  sawa

  Christian Leonard   Posted on 2 years ago

  Yap!

  Ask
  Ticha
  Kidevu

  Pick a Class and Continue

  Cancel

  X
  Feedback

  We Love to Hear from You

   

   

   


  X

  Connect to your school online

  X

  Find your registered child

  Or Register a New Child Here