• Entertainment Discussions

  Add comments and win points

  Join, Discuss, Learn, Share idea with others

  Back to discussions

  Posted 10 months ago

  Hahaaaaa! Hii ni kweli kabisa

    1       32

  Comments  

  My Best Friend Forever   Posted on 10 months ago

   Nakumbuka zamani nilikuwa na visanga vingi wakati wa kuigiza michezo nilikua na bahati ya kuwa BABA japo nilikuwa nikiwaogopa wasichana (kuna sababu), sasa kuna siku nilienda kucheza yumbani kwa rafiki yangu walikua na radio ya kurekodi sauti, tukaigiza mimi km BABA rafiki yangu na mdogo wake km watoto halafu dada yao alikuwa MAMA (alituzidi kwa umri) sasa tukiwa katikati ya igizo rafiki yangu akasema "Haya MAMA ambusu BABA" nikashangaa ghafla mtu anakuja usoni katoa ulimi nilimsukuma huko nikatoka mbio sio za nchi hii kesho yake nikakutana mama yao akawa ananiita mkwe huku anacheka nikajua watakuwa wamemsimulia nilivyo wakimbia kwenye igizo.

  Esther Mdemu   Posted on 10 months ago

  Hahahahaaaah ulikuwa na umri gani?

  Queen Alvic   Posted on 10 months ago

  Haaaaaaaaah poleeee sana

  My Best Friend Forever   Posted on 10 months ago

  Kwenye miaka 7 au 8 hivi mpk sas hivi nikikutana na huyo dada anaishia kucheka tu ila baadae rafiki yangu aliniambia dada yake alitaka awe mchumba wangu alimwambia mpk mama yake akiwa mkubwa anataka aolewe na mimi ndio maana mama yake alikua akipenda kuniita mkwe.

  LAVENDER WINTER.   Posted on 10 months ago

  speechless 4 ur past chris

  De Prodven   Posted on 10 months ago

  Je Chris ikitokea leo tukio kama hilo utakubali kumkiss

  My Best Friend Forever   Posted on 10 months ago

  Jesus Christ! My God Upendo? ah! basi kwaherini jamani nitarudi baadae sasa hivi nipo busy kuna kazi ya ghafla nimepewa

  LAVENDER WINTER.   Posted on 10 months ago

  and u thought i wouldn't see ur comment thingy

  My Best Friend Forever   Posted on 10 months ago

  Upendo tafadhali naomba tuyajenge si unajua mimi na wewe hatuna uadui kbs, tena n mabest kweli kweli sema watu tu wanataka kugombanisha Plz naomba tuyajenge mapema hata kabla mwaka haujaisha tukianza mwaka mpya na sisi tunaanza upya kabisa Tafadhali.

  LAVENDER WINTER.   Posted on 10 months ago

  translation

  My Best Friend Forever   Posted on 10 months ago

  Dah! mwaka nishaumaliza vibaya teyari

  My Best Friend Forever   Posted on 10 months ago

  Kaka Mussa hapana siwezi kbs, tena siwezi kuruhusu yajekutokea mazingira kama hayo.

  Esther Mdemu   Posted on 10 months ago

  Hahahahaaaah naona kiboko wako Chris kaja  mwenyewe coz ulikuwa unaringa kumleta hahahahaaaah!!!!!!!!

  LAVENDER WINTER.   Posted on 10 months ago

  no its not CHRIS

  My Best Friend Forever   Posted on 10 months ago

  Esther achaumbea Upendo ni best wangu acha kusikiliza maneno ya Jessica bhn alafu kwanza mimi ndiye nile mwita best wangu hata sikuwa ninaringa kumwita, Esther usimsikilize Jessica eti atakupoteza uwe mtoto mwenye tabia mbaya shauri yako.

  Esther Mdemu   Posted on 10 months ago

  Hahahahaaaah nisije kukuumbua bureeee we Mkaks

  Herculean Preitygen   Posted on 10 months ago

  Hahaaaaaaahaaaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaaaahaaaaa kumbe Chriss na ww ulkuwaga unaigiza hyo michezo khaaa sio poaaa alafu sasa hv unajikuta mjanja km sio ww,alafu naona umeshtushwa na dada yangu Upendo kurud haahaaaaaahaaa naona sasa utatulia picha lnaanza unatuaga eti unakaz umepewa ya ghafla we kaz ya ghafla unaijua ww au unaickiaga kwa mbali Upendo mpempempeeeee ya kwake atulieeee nakuaminia dada yangu naona Esther msaidizi wako karud sasa Aman imerejea nw shule direct sasa

  LAVENDER WINTER.   Posted on 10 months ago

  pls you guys stop it.

  Esther Mdemu   Posted on 10 months ago

  Kabisa Jessy ongeza Gia za jujuuuuuh

  Herculean Preitygen   Posted on 10 months ago

  Anhaaaaaa Chriss sasa kwa kuwa Upendo amerud unajitia umepoa alafu unanigeuka unasema mm nina tabia mbaya si ndio wee tulia taratibu utazoea sasa amerud huna jinsi tenaaaaa so Chriss sasa hv me nina tabia isnt it bro?????sawa me nakubal yote bt God sees u en only him knows cjategemea kuckia haya leo kutoka kwa Chriss ngoja mdg wangu Teddy aje amwage unga alafu tuone who is right???me si nina tabia mbaya bhn thanks for all me nshamindisha tayar bt God knows wat bro ur doing

  LAVENDER WINTER.   Posted on 10 months ago

  don't mind him

  Esther Mdemu   Posted on 10 months ago

  Jamani kuna watu mnajitahidi kuandika insha mbona mi siwezi maneno mengi mimi ni short and clear  

  Herculean Preitygen   Posted on 10 months ago

  Upendo just listen no one who minded or minds him bt besty yako ni very sturborn sometimes mpk u wish ata umpe kofi zito ata la shavu plz naomba tu uelewe hvyo tu ila hatuna maan mbaya kw Chriss yupo vzur ila kuna mda daaaah ndo hvyo tena

  Esther Mdemu   Posted on 10 months ago

  Hahahahaaaah Jessy nawe kiboko 

  LAVENDER WINTER.   Posted on 10 months ago

  sawa

  Herculean Preitygen   Posted on 10 months ago

  Hahaaaaaahaaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaaaahaaaaa Esther hapana chezea Jessy wweeeeee

  Chichy Kdul   Posted on 10 months ago

  haaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  Fankie Peace   Posted on 10 months ago

  Hahaaaa

  Eliachim Eliud   Posted on 10 months ago

  Wuuh!!

  LAVENDER WINTER.   Posted on 10 months ago

  THANK U 

  My Best Friend Forever   Posted on 10 months ago

  (Upendo just listen no one who minded or minds him) 

  Hahaaaa Jessica nadhani haumfahamu UPENDO vizuri wewe, huyo ni mumini mkubwa wa JESHI LISILO FUNGAMANA NA UPANDE WOWOTE sio wa kumvaa kichwa kichwa huyo shauri yako nadhani sasa utakuwa unanielewa

  LAVENDER WINTER.   Posted on 10 months ago

  here we go again!!!

  Ask
  Ticha
  Kidevu

  Pick a Class and Continue

  Cancel

  X
  Feedback

  We Love to Hear from You

   

   

   


  X

  Connect to your school online

  X

  Find your registered child

  Or Register a New Child Here