• Entertainment Discussions

  Add comments and win points

  Join, Discuss, Learn, Share idea with others

  Back to discussions

  Posted 2 years ago

  AKILI ZANGU NAZIJUAGA MWENYEWE

   

   

  Nilipofukuzwa kazi... nikawa kila siku naenda nyumbani kwa Boss wangu na kunya mlangoni kwake...  kuna siku Boss akaniuliza...
  Boss: Chris mbona unakujaga kunya mlangoni kwangu?
  Chris: Nataka kukuonesha kuwa silali njaa.

    2       24

  Comments  

  Zai Ghaa   Posted on 2 years ago

  Hahahaha so funny chriss nae kazid

  Queen Alvic   Posted on 2 years ago

  Umemkomesha kwel

  Herculean Preitygen   Posted on 2 years ago

  Hahaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaaaaahaaaaaaaa uuuuuuuhhh!!!!!!

  Herculean Preitygen   Posted on 2 years ago

  Naona bro mkubwa ur baaaaack nw wlcome sana i guess umeupokea mwaka vzur ila ninachoomba rud kwnyy posts za nyuma kule zoteeeeeeeeeeeeeee ukazsome yapo mambo mengi sana yanakuhusu ww kinoma plzzzzzzz bro!!!!!!!!!!!

  Herculean Preitygen   Posted on 2 years ago

  THANK YOU FOR ANSWERING MY PRAYERS EN MAKE MY BRO TO BE BACK AGAIN MAY ALL ESPECCIALLY ESTHER SAY AMEEEEEN!!!!!!!!!

  Esther Mdemu   Posted on 2 years ago

  AMEN KUBWAAAAA duuuuuh Chris ulipotelea wapi maana Moses alisema umemfuata ndugu yako dampo is it true?

  Esther Mdemu   Posted on 2 years ago

   Mmmmmh Jessy nawe hutaki apitwe huyu jamaa angu Chris 

  Fankie Peace   Posted on 2 years ago

  Haha

  Esther Mdemu   Posted on 2 years ago

  Where were you Chris babake ?mweeee!!!

  Herculean Preitygen   Posted on 2 years ago

  Aaaaaaaahhhhhh naanzaje kwa mfano maana cyo kw ukmya wake huo daaaaaaahhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  Esther Mdemu   Posted on 2 years ago

  Chris jamani si ukuje tuu mbona hivyo tena............

  LAVENDER WINTER.   Posted on 2 years ago

  you again with ur jokes.

  Tony Ice   Posted on 2 years ago

  eeeeeh

  Christian Leonard   Posted on 2 years ago

  Esther na Jessica nishajieleza kwenye Post za juu naamini mmsha nisamehe si eti eeh!

  Herculean Preitygen   Posted on 2 years ago

  Hahaaaaaaaaahaaaaaaaaa nizoee sis Upendo napenda jokes sanaaaaaaa

  Esther Mdemu   Posted on 2 years ago

  Kishingo upande lakini

  Christian Leonard   Posted on 2 years ago

  Hahaaaa! Esther afadhali umekubali KISHINGO UPANDE maana ungekubali KIGUU UPANDE sijui uketembelea MAGONGO.

  Christian Leonard   Posted on 2 years ago

  Upendo! tusamehane bure tu leo ni mwisho kabisa si unajua Wokovu hauji kwa siku moja!

  LAVENDER WINTER.   Posted on 2 years ago

  you guys r fun wish to meet ya once

  Esther Mdemu   Posted on 2 years ago

  Sitaki kuwa kinematic hivyo but missed you dear funny zako kama hizo hatari

  Herculean Preitygen   Posted on 2 years ago

  Alafu Chriss kutembea kiguu upande unakujua ww au unasema tuu hv kumbe aujaacha tabia yako km kiazi ooohh Mungu akusaidie

  Herculean Preitygen   Posted on 2 years ago

  Ila me bado ata cjui km nmekusamehe i really dont know en never ask me Y coz de answer will be Z

  Christian Leonard   Posted on 2 years ago

  Usipo nisamehe shauri yako mwenyewe na Mungu anakuona tu jinsi ulivyo na roho ngumu mwanamke wewe km kiazi mbatata

  Johnsnow   Posted on 2 years ago

  hahahahahaha

  Ask
  Ticha
  Kidevu

  Pick a Class and Continue

  Cancel

  X
  Feedback

  We Love to Hear from You

   

   

   


  X

  Connect to your school online

  X

  Find your registered child

  Or Register a New Child Here