Aya wadau bora wengi mpo online ingawa sio wengi sana kuna mtu anaomba mdondoshe namba zenu za whatsapp anahtaji kuunda group ata km hautakuwepo utakuw xcul unaweza ukaweka no yako utakuja kuingia mwez wa nne lkizo ila nawaomba sana guys namba zenu ni muhimu plzzzzz wee weka tu no yako kila kitu kitakuw sawa den km unawasiwasi wa kutowekwa kwny tukrud mwez wa nne useme mapema ili uwe added in the group.........Morning guys!!!!!!!!!
Zaidi sana guys siamin km kesho its xcul daaaaaaahhh inauma sana kurud jela tena kw mda wa miezi miwili au mitatu daah mbali knoma den naona watu wameanza kupotea yaan mwaka ulivyoingia tu kuna Stellah,Chriss,Esther,Anicetha,Farida,Upendo,Prince,en e.t.c ata km ndo xcul ata bila kuaga wadau khaaaaaa!!! sio poa hii ya sasa hv ni kali kulko ya kpnd kile byebye zlkuw nyng xn mpk ilkuw inaboaaaaaaaaa!!!!!!!!