• Entertainment Discussions

  Add comments and win points

  Join, Discuss, Learn, Share idea with others

  Back to discussions

  Posted 2 months ago

  Wanasemaga elimu ni bahari ndomana nimeshika daftar kwa wangu uhodari nitaja nunua gari mhmh ndoto zangu ziko mbali if you one no body kila mtu ana ndoto lakin bila kusoma ni majuto 

   

  Heshimu uwepo wa wazazi wako kukupa elimu maana majirani zako wako tim tim anaekusaidia humjui bali anaekujua anataka kukusaidia ili akucheke so struggle 

    1       2

  Comments  

  Itz@anne's Cutie   Posted on 2 months ago

  Nice bro

  Kelpie Lovely Offical   Posted on 1 month ago

  Good

  Ask
  Ticha
  Kidevu

  Pick a Class and Continue

  Cancel

  X
  Feedback

  We Love to Hear from You

   

   

   


  X

  Connect to your school online

  X

  Find your registered child

  Or Register a New Child Here