• Entertainment Discussions

  Add comments and win points

  Join, Discuss, Learn, Share idea with others

  Back to discussions

  Posted 2 months ago

  Elimu ni ufunguo wa maisha,,, kuamka asubuhi saa 12 japo kunachosha,,, sa ndo nitafanyaje  maji yakimwagika hayazoleki ila sina budi kuyachota maana huwezi pika kwa mafuta ya breki,,, mchumia juani hulia kivulin,,, usiombe upelekwe ofisin utasikia shika chini ukitoka unakovu mgongoni,,, utakasirika ila mbio za sakafuni huishia ukingoni,,, kukata tamaa hupelekea kupata umaskini leo upo shuleni kesho ofisini,,, heshimu maamuzi ya mzazi wako kukuleta shuleni kwani analo lake akilini,,, anakuombea mwanae ufaulu yako mitihani,,, napia usichoke kumpa zake shukrani maana bila yeye usingekua duniani. 

    2       6

  Comments  

  Dat Wizzy Kimaro   Posted on 2 months ago

  Cool bro

  Mary Onyali   Posted on 2 months ago

  cool

  GIBOR RWEZAURA   Posted on 2 months ago

  Awsome

  Zulfa Issae   Posted on 2 months ago

  GREAT!

  Brown Brown   Posted on 1 month ago

  You are doing well

  Brown Brown   Posted on 23 mins ago

  That's true

  Ask
  Ticha
  Kidevu

  Pick a Class and Continue

  Cancel

  X
  Feedback

  We Love to Hear from You

   

   

   


  X

  Connect to your school online

  X

  Find your registered child

  Or Register a New Child Here