• X
  X
  Andrea Kikuli

  Student at Alfagems Secondary School in Nane Nane

  Activities timeline


  Andrea Kikuli 2 years ago

  Commented on Rama Kassera's Post in Sports And Games Discussions

  Rama Kassera Posted 2 years ago

  Discussion posted in Sports And Games Discussions

  PICHA ZA UKWELI

  VICHEKESHO

  UNGEKUWA BABA WA HUYU MTOTO UNGEMFANYAJE?
  baba : niletee soda we mtoto
  mtoto : pepsi or coka?
  baba : pepsi
  mtoto : ya kopo ya chupa?
  baba : ya kopo
  mtoto : ya baridi or yamoto?
  baba : hee! we mtoto mbona maswali mengi....basi
  bwana ni letee maji tu
  mtoto : ya hapa hom or nika nunue kwa shop?
  baba : ya hapa hapa
  mtoto : ya baridi ya moto?
  baba : ya baridi
  mtoto : kwenye glasi or kikombe?
  baba : ntakupiga na ufagio we mtoto
  mtoto :ufagio wa chelewa or wa mti?
  baba : ntakuuwa we mtoto
  mtoto : uta uwaje utanichoma kisu or utanipiga na
  bastola?
  baba :ntakupiga na bastola
  mtoto : kichwani or tumboni?
  baba : kichwani...NIMEKWAMBIA TOKA NJE
  mtoto : saivi au baadae kidogo?
  baba : sasa ivi
  mtoto : maji hutaki?

  Enzi za ujana wangu nilitembelea nchi nyingi sana

  Babu mmoja alikuwa na wajukuu zake barazani anawapa stori za ujana wakee
  Babu: Wajukuu zangu wakati wa ujana wangu nilitembelea karibuni nchi zote
  Wajukuu: Ulitembelea “kikazi” au?
  Babu: Hapana sikuwahi kufika kikazi kwa kuwa ilikuwa haijapata uhuru, lakini ilipopata uhuru niliitwa niende nikakataa
   

   

  Mji mkuu wa Rwanda – Kigali


   

  Baada ya mapigano ya wenyewe kwa wenyewe ya nchini Rwanda na kupata amani viongozi wa nchi walikaa na kujadili kutafuta jina jipya la mji mkuu wa Rwanda (Kigali)
   

  Mwakilishi wa umoja wa mataifa: Enhe! mnataka tubadili jina la mji wa Kigali tuite jina lipi?
   

  Rais wa mpito: Nadhani tuite Kimeli au Kindege kwa kuwa sasa tumekomaaMwakilishi wa umoja wa mataifa: Jiheshimu ushakuwa mtu mzima wewee


   


   


   


   


   


   

    3       7
  View all 7 comments
  Andrea KikuliPhoto
  Andrea Kikuli Posted on 2 years ago

  Unakipaj

  Andrea Kikuli 2 years ago

  Commented on Rama Kassera's Post in Sports And Games Discussions

  Rama Kassera Posted 2 years ago

  Discussion posted in Sports And Games Discussions

  linaenda wapi hadi wapi

    1       7
  View all 7 comments
  Andrea KikuliPhoto
  Andrea Kikuli Posted on 2 years ago

  Moroo iyo

  Andrea Kikuli 2 years ago

  Commented on Unknown Genius's Post in Sports And Games Discussions

  Unknown Genius Posted 2 years ago

  Discussion posted in Sports And Games Discussions

  Did you know that you can simplify the characteristics of living things by the word "MRS.FERG".

   

  M-Movement.

   

  R-Respiration.

   

  S-Sensitivitity.

   

  F-Feeding.

   

  E-Excretion.

   

  R-Reproduction.

   

  G-Growth.

   

             Follow @Unknown Genius.

   

    2       5
  View all 5 comments
  Andrea KikuliPhoto
  Andrea Kikuli Posted on 2 years ago

  It is simple

  Andrea Kikuli 2 years ago

  Commented on Heriely Ndossy's Post in Sports And Games Discussions

  Heriely Ndossy Posted 2 years ago

  Discussion posted in Sports And Games Discussions

  Polo Boy

   

    1       4
  View all 4 comments
  Andrea KikuliPhoto
  Andrea Kikuli Posted on 2 years ago

  2you

  Andrea Kikuli 2 years ago

  Commented on Heriely Ndossy's Post in Sports And Games Discussions

  Heriely Ndossy Posted 2 years ago

  Discussion posted in Sports And Games Discussions

  I was just thinking about the best thing for you

    1       8
  View all 8 comments
  Andrea KikuliPhoto
  Andrea Kikuli Posted on 2 years ago

  Thanxs

  Andrea Kikuli
  Updated 2 years ago

  Changed his profile picture

  Andrea Kikuli
  Updated 2 years ago

  Changed his cover photo

  Andrea Kikuli
  Updated 2 years ago

  Changed his profile picture

  Andrea Kikuli   Posted 2 years ago

  Discussion Posted in Sports and Games Discussions

  what is climatology

    1       8
  Andrea Kikuli 2 years ago

  Commented on Agness Mikina's Post in Entertainment Discussions

  Agness Mikina Posted 2 years ago

  Discussion posted in Entertainment Discussions

  h

    0       8
  View all 8 comments
  Andrea KikuliPhoto
  Andrea Kikuli Posted on 2 years ago

  Hi

  Notes from the teachers Andrea is following
  Currently, there are no notes from the teachers Andrea is following
  Exams from the teachers Andrea is following
  Currently, there are no exams from the teachers Andrea is following
  Makini Quizzes Andrea attempted
  Exams/Test Attempts Results for Andrea
  Ask
  Ticha
  Kidevu

  Pick a Class and Continue

  Cancel

  X
  Feedback

  We Love to Hear from You

   

   

   


  X

  Connect to your school online

  X

  Find your registered child

  Or Register a New Child Here