LIFE IS A CHANCE NOT A CHOICE.

Habari zenu; nimewamiss sana.
Any way to day i have something strange to share with you.
Please read it and check yourself how many times you do lalamika kwa MUNGU
Najua wengi wetu tunafahamu story of JOB "AYUBU" wa kwenye biblia
kwa ufupi sana kwa mtu asiye ifahamu ama amesahau 'ayubu alikuwa ni mtu mwenye mali nyingi sana,mwenye famila kubwa,kubwa hasa alikuwwa ni mcha MUNGU.
Siku ya watakatifu kujihudhurisha mbele za MUNGU ilifika shetani naye akenda,MUNGU akamuuliza shetani "umemwona mtumishi wangu ayubu anavyo nitumikia ". shetani akajibu"nimemuona kwa sababu umemzunguka pande zote,nipe nafasi ni mjaribu uone kama ataendelea kukutumikia" MUNGU akamruhusubali pumzi ya ayubu amuachie.shetani naye akaenda.
shetani akenda kumjaribu ikiwemo kuchukua mali zake zote ,kuchukua watoto wake wote,kumafanya achukiwe na mkewe pia na ndugu ili amkufuru MUNGU.
Bali ayubu aliwajibu "tupate mema tu kutoka kwa MUNGU na mabaya JE?"
Nini nataka uone ,ni hiki hapa :-
ayubu alifahamu kuwa MUNGU ameruhusu.
pia jua kwamba kuna wakati unapitia magumu si kwamba MUNGU afahamu, hapana MUNGU anafa kwa sababu yeye ndiyo ameruhusu.
According to bible ambayo mimi nina isoma na watu wengine huisoma inasema "MUNGU hutoa na huwapa vitu vilvyo bora watu wake",yaani nina maanisha
GOD always gives you best, it doesn't matter how look like to you wether good or bad,best or worst.
Magumu gani nina yasema?
Ni haya hapa:-
Ayubu akulalamika wala kumlalamikia MUNGU.Bali alifahamu anayoyapitia yote ni BEST ndio maana MUNGU amempatia
Vivyo hivyo wewe unayepitia magumu elewa na fahamu hiki
Always GOD gives BEST and the BEST are comes if you will receive the same ,when those best of GOD reach to you may be GOOD(best) or BAD(worst) ,DO NOT lalamika wala kumlahumu MUNGU
wasahele wana sema baada ya dhiki faraja,vivyo ndivyo ilivyo kuwa kwa Ayubu kwani alipata vazuri kuliko vile vya mwanzo
Ndivyo itakavyo kuwa kwako wewe kama hutokatatamaa,huto vunjika moyo hutaendelea mbele na kumtumikia MUNGU kwa moto uleule wa mwanzo
Talk any thing if you touched with this message
1.what is the name of a piece of sponge you take your head on it when you are sleeping?
IS A NUMBER OF PEOPLE IN A PARTICULAR AREA
what is English
IS A WORLDWIDE LANGUAGE SPOKEN AT LARGE
Hey ladies it time now to believe i n ourselves fear nobody speak when u got a voice to do so dont wait for someone to push u
Hi,i have a simple considerate question why do we have to go to school.
READING STORIES IMPACTS US TO HAVE GOOD READING LEVEL SKILLS NEEDED IN PLACES WE OCCUR TO BE