Uko vizuri

kichekesho
BABA: mwanangu kwenye huu mtihani uliofanya natumaini utafanya vizuri.
DOGO: ndio baba nitapata mia kwa mia.
BABA: kwanini unasema hivyo?.
DOGO: kwasababu jana kanisani tulifundishwa "Yesu ni jibu" kwahiyo kote nimejaza Yesu.
BABA: kwel kazi ipo
JE UNGEKUWA WEWE HUYO NDO MWANAO UNGEMFANYAJE?
Discussion posted in Sports And Games Discussions
hii 2 all of u nimerudi kivingine kabisa vp mnaonaje
Safi 2