• X
  X
  Fahad Kassanga

  Student at MAGOZA in Dar Es Salaam

  Activities timeline


  Fahad Kassanga   Posted 6 months ago

  Discussion Posted in Entertainment Discussions

  Nanza na daftari maan huko ndo hutokea yangu mistari wengi wanaishi tegeta nyuki lakin hawajui utamu wa asali kipofu haoni mbele  ila anaona kinyaa akili ni nywele nichokiwaza kipo mbali ivi mwenye kipilipili kichwani ndiye mwenye akili ya kachumbari maana napenda kula wali nazi ila sipendi walimwengu muislamu anaswali nahisi jibu analo mungu  unaposema akili ni nywele niambie zawapi ili nizinyoe 

    1       9
  Fahad Kassanga   Posted 6 months ago

  Discussion Posted in Entertainment Discussions

   

   

   

  Naanza nabrown naona uko mtandaon umekaachin umeshika yako phone nikimcheki fatuma naona anajituma kutafuta yake one maana bila ya grass ya miwan huwezi ona mbelen nikimcheki truth naona ameshika makaratas nikamuuliza ya nin akanijibu special kwa mitihan ila nikimuona dee namfananisha na madee maana yeye hapendagi D nikuanzia c mpaka A ila fankie amenifanya nimwambie maana education kwake nikama ukiingia choon lazima utulie au ndo mama samia nakazi iendelee nikimuona star boy ananionesha mwanga wakati nikiwa kwenye giza maana huyu jamaa hanaga za kuigiza igiza 

   

   

    2       3
  Fahad Kassanga   Posted 6 months ago

  Discussion Posted in Entertainment Discussions

  Majuto ni _

   

  A.mjukuu

   

  B.muigizaji.  (     )

   

  C.kafa

   

   

    0       5
  Fahad Kassanga   Posted 6 months ago

  Discussion Posted in Entertainment Discussions

  Ilove you education unanipa nyingi atensheni mpaka niko very happy kwa yako mikakati kusoma kweli ni raha kama chai na chapati ila weh! Kwenye ujinga unipati nimim education bye

    0       2
  Notes from the teachers Fahad is following
  Currently, there are no notes from the teachers Fahad is following
  Exams from the teachers Fahad is following
  Currently, there are no exams from the teachers Fahad is following
  Makini Quizzes Fahad attempted
  Exams/Test Attempts Results for Fahad
  Ask
  Ticha
  Kidevu

  Pick a Class and Continue

  Cancel

  X
  Feedback

  We Love to Hear from You

   

   

   


  X

  Connect to your school online

  X

  Find your registered child

  Or Register a New Child Here