• X
  X
  Fahad Kassanga

  Student at MAGOZA in Dar Es Salaam

  Activities timeline


  Fahad Kassanga   Posted 6 months ago

  Discussion Posted in Entertainment Discussions

  Alieleta gharika la umaskini hana msaada ukiona moyo wako unasita ongeza moja ziwe saba  yaan upendo wasikuzi bwana unauongo waku pretend unaweza ukachunwa hela nabado ukaoneshwa stendi 

   

  Tambua kuna baba mwenye nyumba na baba anae kuchunga ila wote baba wado mkubwa baba aliekuumba

   

   

   

   

    2       1
  Fahad Kassanga   Posted 6 months ago

  Discussion Posted in Entertainment Discussions

  Natuma salamu zangu, ziende kwa marafiki  wenzangu tulizo la moyo wangu oh! Jamaaaa

   

  Namshukuru manani kwakunipa marafiki wema walosafika moyon wenye wingi wa huruma wameumbika yaqiin wazuri ukiwatizama sauti zao lain oh ! Jamaaaa

   

  My sweet my number one shule direct your one na milion unavyo ni aman oh! Nirahaaa

   

  Tuwaache watuseme huku wakiambiana tulishamili lifane upendo wetu kushikana ikiwa lengo tukosane watalisubir saaaana kwako nataraji kheri na furaha iso kwisha wange panga mistari upendo wetu kuuangusha bure wata tahayar hatuachani maiiisha 

   

    1       1
  Fahad Kassanga
  Updated 6 months ago

  Changed his profile picture

  Fahad Kassanga
  Updated 6 months ago

  Changed his cover photo

  Fahad Kassanga   Posted 6 months ago

  Discussion Posted in Entertainment Discussions

  Hey guy's kuna kumi na moja ngapi hapo 1011011011011011011011011011011011011

    0       4
  Fahad Kassanga   Posted 6 months ago

  Discussion Posted in Entertainment Discussions

  Unaposema shule direct ndokwanza naketi , kwanza haina mengi makelele so, ukipanda mnazi ruksa kukaa siti ya mbele, maneno yasiku hizi kama ajali wengi wanaishi tegeta nyuki lakin hawajui utamu wa asali watakacho kwambia we usijali maana huwezi tumia kamba ya raba kukazia buti ya gari wamakonde ndo wanashabikia ndanda unaweza kuta mkude simba nae anashabikia yanga, unaposema masomo magumu unanichekesha wenzako magari alafu wew chooni unaendesha kama unapenda waweza kunifata maana  mim ndo kaka ake na king kaka 

    0       2
  Fahad Kassanga 6 months ago

  Commented on ZUCHU 's Post in Entertainment Discussions

  ZUCHU Posted 6 months ago

  Discussion posted in Entertainment Discussions

  hellow 

    0       6
  View all 6 comments
  Notes from the teachers Fahad is following
  Currently, there are no notes from the teachers Fahad is following
  Exams from the teachers Fahad is following
  Currently, there are no exams from the teachers Fahad is following
  Makini Quizzes Fahad attempted
  Exams/Test Attempts Results for Fahad
  Ask
  Ticha
  Kidevu

  Pick a Class and Continue

  Cancel

  X
  Feedback

  We Love to Hear from You

   

   

   


  X

  Connect to your school online

  X

  Find your registered child

  Or Register a New Child Here