• X
  X
  Karim Bakari

  Student at Azania Secondary School in Dar Es Salaam

  Activities timeline


  Karim Bakari
  Updated 2 years ago

  Changed his profile picture

  Karim Bakari
  Updated 2 years ago

  Changed his cover photo

  Karim Bakari 5 years ago

  Commented on Catherine Martin's Post in Entertainment Discussions

  Catherine Martin Posted 5 years ago

  Discussion posted in Entertainment Discussions

  Stay away sause this is my life

    0       3
  View all 3 comments
  Karim BakariPhoto
  Karim Bakari Posted on 5 years ago

  K

  Karim Bakari 5 years ago

  Commented on JACK FROST CACTUS's Post in Entertainment Discussions

  JACK FROST CACTUS Posted 5 years ago

  Discussion posted in Entertainment Discussions

  Je unajua heavy rain falls cause gravity to become stronger that mins sasa hivi ukipima uzito wa kilo moja ikwa spring balance inAWEZA KUSOMA 11.2AU 11.3 BADALA YA 9.8 au 10 newtons

    0       3
  View all 3 comments
  Karim BakariPhoto
  Karim Bakari Posted on 5 years ago

  K

  Karim Bakari 5 years ago

  Commented on JACK FROST CACTUS's Post in Entertainment Discussions

  JACK FROST CACTUS Posted 5 years ago

  Discussion posted in Entertainment Discussions

  Kama ume ex perience kukatika kwa umeme wiki hii dondosha koment hapa

    0       5
  View all 5 comments
  Karim BakariPhoto
  Karim Bakari Posted on 5 years ago

  K

  Karim Bakari 5 years ago

  Commented on JACK FROST CACTUS's Post in Entertainment Discussions

  JACK FROST CACTUS Posted 5 years ago

  Discussion posted in Entertainment Discussions

  Ushawahi kusikia hii

    0       6
  View all 6 comments
  Karim BakariPhoto
  Karim Bakari Posted on 5 years ago

  K

  Karim Bakari 5 years ago

  Commented on JACK FROST CACTUS's Post in Entertainment Discussions

  JACK FROST CACTUS Posted 5 years ago

  Discussion posted in Entertainment Discussions

  je unajua kuwa wewe ni mrefu usiku zaidi asubuhi kuliko usiku .. maginias tu ndo tuna jua sababu ...ulizani nta kupa jibu (katafute na ufanye uchunguzi)

    0       5
  View all 5 comments
  Karim BakariPhoto
  Karim Bakari Posted on 5 years ago

  K

  Karim Bakari 5 years ago

  Commented on JACK FROST CACTUS's Post in Entertainment Discussions

  JACK FROST CACTUS Posted 5 years ago

  Discussion posted in Entertainment Discussions

  Ukipata swali hili wewe ni ginias na haiwezekaniki kulogwa A COMMUNICATION SATELLITE APPEARS TO BE STATIONARY OVER A POINT ON THE EARTHS SURFACE WHEN IT IS MOVING IN A CIRCULAR ORBIT OF RADIUS 42000 KM . CALCULATE ITS SPEED IN km/h IF IT MUST COMPETE ITS ORBIT WITHIN 24 hrs ...na ukilikimbia swal wewe ni............11!!!!!!!11

    0       4
  View all 4 comments
  Karim BakariPhoto
  Karim Bakari Posted on 5 years ago

  K

  Karim Bakari 5 years ago

  Commented on Jacelyn Debmor's Post in Sports And Games Discussions

  Jacelyn Debmor Posted 8 years ago

  Discussion posted in Sports And Games Discussions

  Do we play juxt for fun or we have got ambitions in what we play???

    0       6
  View all 6 comments
  Karim BakariPhoto
  Karim Bakari Posted on 5 years ago

  G

  Karim Bakari 5 years ago

  Commented on Ticha Kidevu's Post in Sports And Games Discussions

  Ticha Kidevu Posted 8 years ago

  Discussion posted in Sports And Games Discussions

  KOMBE LA DUNIA

  Kombe la dunia, mpira wa miguu
  Mashariki ya Afrika, tumeachwa kwnye ukungu
  Tangu uhuru kujipatia, uwanjani hatupeleki timu
  Kulikoni malenga, Twaogopa vunjika miguu??
  Au ni yetu mazoea, Kusheherekea buu
  Kufungwa twafungwa, lakini chenga twawala

  Yakhe nakiri, Nchi zetu hazijaendelea
  Ila hatuhitaji kwenda kwenye mwezi, kucheza mpira
  Au zuria kiwanjani, kulisakata soka
  Na si kompyuta mahili, kutuwezesah kushinda
  Ni mazoea ya utotoni, mpira ni kupiga chenga
  Kufungwa twafungwa lakini chenga twawala

  Pengine tumezoea, kushangilia wenzetu
  Toka mi nimezaliwa, Blazili timu yangu
  Sijui nini sababu hasa, labda ni Pele mtaalamu
  Au ni wanavyo vaa, jezi kama taifa langu
  Rangi kijani naipenda, na njano Yanga timu yangu
  Kufungwa twafungwa, lakini chenga twawala

  Naomba unielezee, tufanyaje soka kuendeleza
  Afrika mashariki tujikweze, tushiriki Kombe la Dunia
  Tafadhali nifafanulie, Roho yangu kuituliza
  Mwisho! la dunia kombe, Timu ipi waishangilia
  Ishindayo ishangiliwe au waenda na wapiga chenga
  Kufungwa twafungwa, lakini chenga twawala

    1       6
  View all 6 comments
  Karim BakariPhoto
  Karim Bakari Posted on 5 years ago

  G

  Notes from the teachers Karim is following
  Currently, there are no notes from the teachers Karim is following
  Exams from the teachers Karim is following
  Currently, there are no exams from the teachers Karim is following
  Makini Quizzes Karim attempted
  Exams/Test Attempts Results for Karim
  Ask
  Ticha
  Kidevu

  Pick a Class and Continue

  Cancel

  X
  Feedback

  We Love to Hear from You

   

   

   


  X

  Connect to your school online

  X

  Find your registered child

  Or Register a New Child Here