KWA NINI YEYE KAFA NA SIYO MWENZAKE?TUMIA UBONGO KUJIBU MASWALI YAFUATAYO.
kulikuwako na mapacha wawili mmoja anaitwa laufu na mwingine alikuwa anaitwa andrew.hawa mapacha walikuwa wanapenda kwenda katika hotel ya kanyewest ili kupata soda .mapacha hawa walimatch very well but watu walikua wakiwatambua kwa unywaji wao.laufu alikua anakunywa soda kwataratibu sana na andrew alikua anakunywa hararkaharaka.mmoja kati ya wahudumu wa hotel hiyo alikua ampendi sana laufu aliyekua anaitwa kiyombo alikua akipanga mipango ya kumuua laufu but ilishindikana lakini one day wale mapacha walipoenda kunywa soda kama kakawaida yao ilikua ni zamu ya kiyombo kuhudumia .basi alipoagizwa akalete soda mbili akaona hiyo ndiyo chnce ya kumkill laufu basi akachukua soda akamimina ktk glass kama wanavyotakaga akafikiria kwk sumu ktk glass zao. basi baaada ya mda akateki mabarafu mawili na akatia katika glass . basi baada ya muda akapeleka zile glass na wale mapacha wakanywa.kama kawaida layfu alikunywa taratibu naandrew alikunywa fasta.baada ya dakika 5 laufu akafa .JE,NI NINI KILICHOKUA NA SUMU ? naKWA NINI ALIKUFA LAUFU PEKE YAKE IKIWA SUMU ILIWEKWA KOTEKOTE? Tumia bongo tafakari!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
Discussion posted in Entertainment Discussions

Ahhhhhhhhhhhhhhhhh