Shule Direct works best with Javascript enabled.

Learn.Revise.Discuss.

Anytime, Anywhere

An online platform that provides educational learning content for students and teachers in secondary schools.
Start Learning

SHULE DIRECT is now available on Facebook’s Internet.....

Read More
NEW
Sera Ya Elimu Na Mafunzo 2014

View

Learning at Your Pace

Are you studying secondary education?

Learn what you want, when you want, from where you are. Check the Subjects and get started.

Start Contributing

Teachers and students can bring in study notes, revision materials, learning and teaching concerns or just great tips for others. Write in directly at the Teachers page or Blog about it.

Join the Discussions

Participate in discussions of your favourite Subjects. Visit the Discussions.

Share and learn.

People who support us!

What people say!

 • I like this

  Robert Nyanda (29-12-2014)
 • Kwa kweli huduma yenu nimeipenda lakini ningependa mngeweka na masomo ya a level

  Khamis Mkose (29-11-2014)
 • Thank you for your efforts on improving the education standard to the youth. I would like to be an active contributor as I'm a teacher in the field of language. thank you.

  Benard Maira (10-12-2014)
 • Shule Direct imekuwa mkombozi kwa wanafunzi wote na mwanafunzi anayejitambua naamini anaijua hii mungu awabaliki kwa kazi nzuri ya kuleta mabadiliko ya secta ya elimu tanzania.

  Kelvin Peter (29-12-2014)
 • Elimu sasa kiganjani kwako mungu awasaidie sana

  Shaibu Hashimu (30-12-2014)
 • Nafurahi kuona walimu wengi ni wale mlionifundisha nikiwa Korogwe. Nina uhakika timu imekamilika na tutapata materials bora kwa ajili ya wanafunzi wa Tanzania.. Hongereni kwa kujitolea na Mungu awabariki.

  Seleman Benard (31-12-2014)
 • Wanafunzi tushindwe wenyewe tu, hii proglam ni nzuri sanaa, wanafunzi tunatumia muda mrefu mitandao mbalimbali nawaomba sana tusha

  Laurent Mtawa (20-11-2014)
 • Shule direct ni program nzur saana..

  Sarah (19-11-2014)
 • I love the way the programme goes.
  rozierlyeen (18-11-2014)
 • You are batter than all for education
  Fett (17-11-2014)
 • All thanks to shule direct coz make students be academically fit.

  Emanuel Alex (16-11-2014)
 • Mko vizuri sana

  Agger (11-11-2014)
 • No sheeeeeedah! very nice,we are together 4 ever

   

  Halima (08-11-2014)
 • Mpo juu kama mawingu bt mna 2 help sana huku kwe2 shule direct ndio habari ya mjni

   

  Jons Jonas (09-11-2014)
 • Tunawashukuruni sana kwa kuwekeza mchango wenyu katika elimu tunawaombeeni kwa mungu awape ujuzi zaidi wa kuboresha elimu.

   

  Omari (09-11-2014)
 • Huu ni mtandao wa kijanja sana, endeleeni na uvumbuzi mwingine kama huo. Tunawashukuru sana!

  Sad Alifa (05-11-2014)
 • Nimeupenda sana huu mfumo wenu maana umenikosha saaana na unatufanya sisi wanafunzi kujikumbushia topics za kila masomo. Vyema sana!

  Sunday James (31-10-2014)
 • Nashukuru kuanzishwa kwa shule direct in short mko vizuri

  Kiziga Njile (31-10-2014)
 • Nimependa hiki mlichoanzisha, hiyo yote ni kutujenga uwezo wa kifikira.....

  Christilopher (31-10-2014)
 • Hongereni sana kwani mu wakombozi wa wanafunzi wa kitanzania,salute to u people.

  George Helahela (31-10-2014)
 • Sorry ! program ya shuledirect ni nzuri , tunakuombeni muweze kutusaidia na Advance (V na VI) pia itasaidia saana elemu yetu hii Tanzania yenye changamoto kila kukicha. thanks.

  Omary (31-10-2014)
 • Hongereni kwa kuanzisha page hii. Itaweza kusaidia kuinua uelewa wa wanafunzi wetu. Ongezeni juhudi za kuboresha zaidi ya hapa.

  Athuman Mgonja (02-11-2014)
 • Shule Direct mko vizuri. Ninawashukuru kwa msaada wenu wa kutuelimisha sisi wanafunzi wa Tanzania.

  Lady Ginnah (20-10-2014)
 • This program is very good

  Juliana Hipolite (11-09-2014)
 • I appreciate u guyz acknowledging needz of studentz by bringing up this site which iz quite helpful, u have no idea how you'll be saving us here........ keep up with your workz!

  Joseph Lukombeso (09-09-2014)
 • I really thank you for the work which you're doing!

  Magreth Deon (04-09-2014)
 • Am a student and am grateful to you guys for thinking about us Tanzanians, the  future leaders,  thank you for your great support and we appreciate it.  Thank a lot, may God bless you.

  Juliet Ihsengoma (28-08-2014)
 • Nawapongezeni sana!

  Hamis Dulayo (21-08-2014)
 • Hongereni sana kwa kufanya yenu;;;;;; U deserve it shuledirect bonge la idea pamja sana;;;;;;;;;;;;;;;;;;;

  Khussein Tshabain Dos-santos (18-08-2014)
 • I went trough your website, and I must say you have a wonderful job. Keep it up I'm sure students will love and enjoy learning. Wish you a good future ahead. :)

  Rehana Jaffer (18-08-2014)
 • I congratulate you!

  Martin Cleopar (04-08-2014)
 • Mnafanya kazi zuri sana kutuelimisha sisi wanafunzi

  Mesiaki Mesarieki (22-07-2014)
 • Mimi ni Roze Emmanel na fundisha Sing'isi Sekondari Arusha. Nawashukuru shule direct kwa mchango wenu katika elimu ya watoto wa tanzania maana mnawakomboa wengi!!!!

  Roze Emmanuel (28-07-2014)
 • I realy appreciate your effort on upgrading the level of education to our children. I am teaching Kiswahili in the school of St. Jude Arusha. My students have found your site very interesting.

  Mussa Shekinyashi (14-07-2014)
 • It's a realy interesting website especialy for us students. BIG UP!

  Elisphah Simon (28-07-2014)
 • Naipongeza shuledirect kwa mpango wake mzuri wa kutoa maswali,na ningependa muuendelee kutoa maswali mbalimbali. Asanteni.

  Baraka Masanyiwa (28-07-2014)
 • Hongereni kwa kazi nzuri mnazozifanya!

  Sylvester Donald (14-07-2014)
 • Shukran za kipekee ziwafikie kwa kuweza kuanzisha njia mbadala ili kuwaepusha wanafunzi na mambo yasiyo na msingi wa kimaendeleo.

  Abdul (30-05-2014)
 • Am glad to find this page, because i have been hunting it . . I hope together with shuledirect we will reach to the goals!

  Nicolaus M Novatus (30-03-2014)
 • Am happy to join in this website
  Vedastus Joseph (April 30, 2014)
 • Tunaendelea kufuatilia huduma zenu, pia tunazidi kuzipokea kwa furaha kwa huduma nzuri mnazotupatia
  Yasini Msungu (March 28, 2014)
 • My bro jawad loves you shule direct
  Lulu Chrls (March 26, 2014)
 • Hongera kwa kubuni kitu ambacho kinawafanya watoto badala ya ku-chat na story, watajisomea online. Wadau tunakuunga mkono hususani watoto wa kike.
  Domina M. Msonge (March 4, 2014)
 • Huu ni ukombozi kwa wadogo zetu maana maendeleo ya sayansi na teknolojia yakitumika vizuri watoto watafaulu...!
  Pasience Mlowe (January 24, 2014)
 • Nawapongeza kwa kazi nzuri. Naahidi ntashirikiana nanyi miezi michache ijayo. Mimi pia ni mwalimu/ni mdau wa elimu.
  Benjamin Ayo (January 22, 2014)
 • Please tusaidieni nasi private candidates
  Vedasto Mweusi Jr (November 13, 2013)
 • Thanks a lot for helping me.
  Nicodemus Mlay (October 23, 2013)
 • Asanteni kwa elimu.
  Jackson Amosy (September 28, 2013)
 • Excellent Shule Direct, Keep up the good work.
  Augustino Mongony (September 25, 2013)
 • Thank you for your good lessons and I do hope that through these different lessons given by SHULE DIRECT. Big results campaign will succeed.
  Josiah George (September 9, 2013)
 • Thanks Shule Direct. We should stop laziness guys. Education is for the strongest ones.
  Denis Elias (June 15, 2013)
 • Thanks a lot kwa kutuanzishia hii kitu kwasababu inajenga sana!!! Always God bless you.
  Tiny Hasty Ashibae (May 1, 2013)
 • I say bravo to the management for this deliberate effort to help young people of this nation to see how technology is integrated with the learning process real this is marvelous effort you deserve big up
  Patrick Maro (April 23, 2013)
 • Nimependa idea ya Shule direct coz utandawazi hauepukiki na kwa sababu hiyo watoto wengi wanashinda internet na shule iwafuate huko huko.
  Cornel Simon (April 11, 2013)